FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sawa, jibu hoja na tetesi iliyopo mezaniAliambiwa pambana na korona yeye akaishia kusema hii ni Vita ya kiuchumi kilichofata TBC ni wimbo wa Taifa.
Kuna chanjo za aina nyingi.Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga?
Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
Nijibu tetesi za wahuni wa mitandaoni?Sawa, jibu hoja na tetesi iliyopo mezani
Wewe una agenda moja tuAliambiwa pambana na korona yeye akaishia kusema hii ni Vita ya kiuchumi kilichofata TBC ni wimbo wa Taifa.
Ndio, hizo hizo jibuNijibu tetesi za wahuni wa mitandaoni?
Majibu kwa kusema,kazi iendelee.Ndio, hizo hizo jibu
Hadi zifike 3 😂😂Mr zero dj mboe lini atadungwa tena??
Nayo ni kupiga miti mwanzo mwisho.Wewe una agenda moja tu
Tetesi yako siyo aunthetic. Imetoka Lumumba where science does not prevail. Usilishe watu matango pori JF.Sawa, jibu hoja na tetesi iliyopo mezani
Hapa mimi ninawatu wanakuwa na maswali ambayo nasindwa kujibu.Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga?
Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
Ndugu zangu, naomba naomba naomba sana. acheni kukimbilia haya madudu badala yake, tuanze mkakati mtambuka wa kuhakikisha kila kaya wanakula vyakula vvyenye kuongeza kinga kwa wingi, na kuimarisha idara yetu ya madawa mbadala (Wizara ya Afya), Vinginevyo, tumekwisha.Hapa mimi ninawatu wanakuwa na maswali ambayo nasindwa kujibu.
Katika hali hii sasa unamshaurije mtu anayewaza kwamba, by the moment unamaliza awamu zote:-
Virus wamebadilika kuwa wengine na yawezekana wasiosikia dawa na hiyo kinga haiwagusi.
Watakuwa wamegundua tena formular nyingine na kuendelea kufanyia majaribio kwa binadamu tena si ajabu wakasema wale mlochanjwa mko hatika hatari zaidi kama hamtakubali dawa hii mpya.
Pengine tayari utakuwa umeshakuwa zombie, ama ukawa kiumbe kingine, ama ukaanza kuzaa viumbe visivyoeleweka kwa kuwa dawa hiyo imejikitia kwenye DNA, na sasa inaangaliwa kama pia itasaidia covid
Kuna watu wanawaka bulb zikiwekwa kwenye mkono uliochnjwa,
Wengine wanavutwa wakikaribia friji n.k Angalia clip hii na usome comments za wachangiaji.
Ukawa tayari umepata maambukizi ya magonjwa mengine kama HIV isiyotegemewa halafu ukaambiwa pole sana kwa kuwa tulikuwa tunafanya majaribio.?
Katika hali kama hii, unaweza kumsaidia namna gani mtu ambaye anashangaa sana tena sana, kwa nini hawa watu wanang'ang'aniza chanjo badala ya tiba kama ilivyo kwa magonjwa mengine?
Mawazo ya kwamba kuna agenda dhidi ya "binadamu", ndiyo sabbu dawa hizi hzifanyiwi majaribio kwa panya buku, kama kawaida badalya yake zinfanyiwa kwa binadamu, huku hakuna juhudi yoyote inayoonekana ya kutibu ugonjwa huu, ila chanjo tu?
Wengine wanapata sumaku mwilini. Look here and read the comments below.
"Mtanikumbuka kwa mema", "Vita vya uchumi ni vibaya". "Msikubali vitu vya kuletewa mpaka mjiridhishe", "Tusubiri kwanza".
Kama wamebadilika, itabidi upige tena tatu zingine zilizoboreshwa zaidi, si uwendawazimu huu? Ila kwakuwa tuna njaa na tunahitaji pesa za COVAX, wacha maigizo yaendelee...😂😂Hapa mimi ninawatu wanakuwa na maswali ambayo nasindwa kujibu.