Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni kama mwezi au miwili imepita sasa kumekuwa na operesheni ya kuchanja watoto..ilikuja kwa kasi sana mpaka wakaweka kambi sehemu zenye watu wengi mfano jengo la kusubiri ferry - K'mboni. Wengi tulijiuliza, why now? walipoona watu hawajitokezi kwa wingi wakaanza operesheni ya nyumba kwa nyumba...kwangu walipita ila nilikuwa nimeacha maagizo wasifunguliwe mlango. Nikaona bora niongee na daktari mmoja maarufu tu...akanijibu kimkato..'USIMPELEKE MTOTO'.
Mungu atusaidie na hawa watoto maana kazi ipo!
kama kweli tunakili vizuri tufanye utafiti wetu kujua kama hizo chanjo zina madhara kwa watoto result zitakazotoka zitatuguide futanye nini sio kulaumu wazungu kwa kila kitu kama hatuna vichwa vya kufikiri na sisi tufanye utafiti pia.
Chanjo za watoto zipo hata huku ughaibuni kwa watoto kuanzia anapozaliwa hadi miaka 18. Kuna nyingine ni optional kama flu vaccine na nyingine ni compulsory kama za Polio, Diptheria, Tetanus, Hepatitis A na B ingawa hawakulazimishi iwapo utagoma ila wanakushauri tu kwamba ni muhimu. Na chanjo hizo huchomwa mapajani tu na si kwingineko, na kuna nyingine ni za kunywa. Binafsi sioni tatizo na chanjo hizo maana risk zake ni ndogo kulinganisha na faida.
Mama taratibu. kwa hiyo tunapokuwa wanaume 10, watano hawana uwezo wa kuzaa? mbona nikiangalia karibu wote hapa ofisini tuna watoto?
Chanjo za watoto zipo hata huku ughaibuni kwa watoto kuanzia anapozaliwa hadi miaka 18. Kuna nyingine ni optional kama flu vaccine na nyingine ni compulsory kama za Polio, Diptheria, Tetanus, Hepatitis A na B ingawa hawakulazimishi iwapo utagoma ila wanakushauri tu kwamba ni muhimu. Na chanjo hizo huchomwa mapajani tu na si kwingineko, na kuna nyingine ni za kunywa. Binafsi sioni tatizo na chanjo hizo maana risk zake ni ndogo kulinganisha na faida.
tafadhali tujuze uko wapi, tufahamu utamaduni wa nchi husika if you dont mind
hivi mkuu, umewahi kujiuliza kwa nini leo nchi kama UJERUMANI hazina watoto na vijana wa kutosha nchi? Umewahi kutafakari kwa nini baadhi ya nchi hutoa zawadi kwa kina mama waliojifungua?
Safi mkuu, tutafanya tu utafiti unaosema tena kukuthibitishia hili ni kuwa tutaomba hela toka mfuko wa hisani ya watu wa marekani, kwahiyo tutakuwa tunaandika tumefanya utafiti kwa msaada wa watu wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Internet connection yangu ipo chini, but nitarudi.kama kweli tunakili vizuri tufanye utafiti wetu kujua kama hizo chanjo zina madhara kwa watoto result zitakazotoka zitatuguide futanye nini sio kulaumu wazungu kwa kila kitu kama hatuna vichwa vya kufikiri na sisi tufanye utafiti pia.
hapo kwenye red mkuu. kuhusu ''kuresearch online na ukapata info nyingi'', info nyingine hii hapa: http://articles.mercola.com/sites/articles/archive/2011/11/01/more-parents-waking-up-to-vaccine-dangers.aspxKwa kweli sijawahi kujiuliza. Binafsi naamini chanjo kwa watoto ni muhimu. Wenzetu wamefanikiwa kuelimisha watu wao na asilimia kubwa hutumia chanjo. Kama alivyosema mdau Pretty lazima uonesha kadi ya chanjo ya mtoto kabla hajaandikishwa shule, na uzuri wanakupa pia maelezo ya kila chanjo, madhara yake kama yapo(mengi ni minor kama homa, kutapika kwa siku chache)na lini zlianza kutumika etc. Pia unaweza kuresearch online na ukapata info nyingi tu juu ya hizi chanjo.
Nimefurahi kwakuwa umesema hawakulazimishi, na hili ndilo linalofanya watu tuanze kuhoji. kumbe huko hawalazimishi. Mi nachukia pia tabia ya kusema kupima ukimwi ni hiari wakati huo huo wamama wajawazito wanalazimishwa kupima. Wakitaka twende sawa wasitulazimishe chochote.Chanjo za watoto zipo hata huku ughaibuni kwa watoto kuanzia anapozaliwa hadi miaka 18. Kuna nyingine ni optional kama flu vaccine na nyingine ni compulsory kama za Polio, Diptheria, Tetanus, Hepatitis A na B ingawa hawakulazimishi iwapo utagoma ila wanakushauri tu kwamba ni muhimu. Na chanjo hizo huchomwa mapajani tu na si kwingineko, na kuna nyingine ni za kunywa. Binafsi sioni tatizo na chanjo hizo maana risk zake ni ndogo kulinganisha na faida.
..........Chanjo zipo dunia nzima, tena ughaibuni ndio kabisa mtoto toka anazaliwa anachanjwa chanjo, tena kwa wakati mmoja mtoto anaweza pata chanjo 5.
Wenzetu watoto zao hawaumwi umwi kama siye huku kwa sababu ya hizo chanjo. Mtoto kuanza daycare /shule wanahitaji record ya chanjo na kama huna mtoto hapokelewi.
.........Upungufu wa nguvu za kiume msisingizie chanjo, ni vyakula mnavyokula na mapombe hayo, mazoezi hamfanyi, utafikiri hizo nguvu zitatokea wapi?
Nimefurahi kwakuwa umesema hawakulazimishi, na hili ndilo linalofanya watu tuanze kuhoji. kumbe huko hawalazimishi. Mi nachukia pia tabia ya kusema kupima ukimwi ni hiari wakati huo huo wamama wajawazito wanalazimishwa kupima. Wakitaka twende sawa wasitulazimishe chochote.
hakika jf ni shule kwani sikujaliwa hekima ya kuyajua haya. kuanzia leo kwangu no chanjo.