#COVID19 Chanjo zimefika hapa msikitini leo

sheikh wa bakwata anasisitiza kuchanja utafikiri mtume alichanja corona
 
Jambo zuri, siku nyingine kama ni msikini wapeleke wachanjaji waisalamu. Mwanamke na mwanaume
 
Sawa tunakuja shehe wangu ....

sema sindano dah....
ila tunakuja
 
mkuu ulivyoanza kwa mhimizo huo, sikutegemea kama ungekula kona mwishoni kwa kisingizio cha kuogopa sindano. 😀😀 Asante kwa mwaliko lakini ......mh!
Hahaahaa!
Karibu tupate kinga.
 
Video.
 

Attachments

  • 20211005_135239.mp4
    36.8 MB
Kwa namna nilivyofuatilia zinahitaji baridi sana na utunzaji wake ni mgumu ila haya mabarafu na madeli......mmh sijui lakini
Kwa hiyo zile barafu mbona ni ngumu sana kwa hiyo hazimudu kuhifadhi chanjo yetu?
 
Ungeishia hapo juu tungekuelewa huku kwingine umetumwa
 
Kwa hiyo zile barafu mbona ni ngumu sana kwa hiyo hazimudu kuhifadhi chanjo yetu?
Binafsi siamini kama zinamudu......maana kuna sehemu kijijini nimewaona na hakuna umeme zipo kwenye madeli tu......anywei Acha waendelee kuchanja japo kwa ubaridi unaohitajika sidhani kama chanjo itabaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…