Channel ipi ya itarusha matananange wa Taifa Stars na Misri?

Channel ipi ya itarusha matananange wa Taifa Stars na Misri?

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
1,447
Reaction score
630
Wadau ninaomba kujua ni channel ya TV na mda gani itarusha mtananange wa TAIFA STARS na MISRI hapo tarehe 14/6/2015 ?
 
Haahahahhh mkuu kwa maudhi tu hujambo

Wajitoe kwa miaka 5 watengeneze timu. Hakuna haja ya kushiriki kimataifa na timu kama hii. Lini walishaleta kombe. Hivi huko club kwao kuna nini cha historia.
 
Wadau ninaomba kujua ni channel ya TV na mda gani itarusha mtananange wa TAIFA STARS na MISRI hapo tarehe 14/6/2015 ?
Mkuu,
Azam tv kupitia page yao ya fb wamesema wao hawataonyesha kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Labda tbccm kama hatakuwa busy kuonensha watangaza nia wa ccm....
Game itachezwa saa 20:00 usiku.
 
tutafanyaje inatubidi tuangalie tuu hata kama tutafungwa,kwa upande mwingine nataka kumuona Mbwana Samatha na Thomas Ulimwengu vijana wa TP MAZEMBE wakiwakongoja wenzao
 
Ama kweli hii sasa ni SIFA !!!!!! Leo tena tumefungwa ? TFF Mpooooooo? mmesikia matokeo au nyie hamjayasikia? Kama kule Africa Kusini tulishindwa kuvifunga vitimu vya vinchi vidogo vidogo itakuwa Misri?
 
Halafu sio goli 3-0 tu ingekuwa 5-0 bahati refa alipotezea zile penalty 2 dhidi yetu
 
Back
Top Bottom