Ni pesa za chama chetu,tuliamua tuziwekezePesa za chama chenu ndizo zilitumika kununua hisa au pesa zake binafsi Rostam?
Ni uamuzi wa kamati kuu chini ya mkapa
Ccm pia ilikua na hisa Vodacom kupitia Rostam lakini bahati mbaya Tena[emoji24][emoji24]
Ndio Mana Kuna kipindi chadema walianzisha kampeni ya kususia Vodacom,kwa sababu inamilikiwa na ccm
Matokeo yake Rostam akauza hisa zake kwa Tsh Bilioni 450!
Ni uamuzi wa kamati kuu chini ya mkapa
Ccm pia ilikua na hisa Vodacom kupitia Rostam lakini bahati mbaya Tena😭😭
Ndio Mana Kuna kipindi chadema walianzisha kampeni ya kususia Vodacom,kwa sababu inamilikiwa na ccm
Matokeo yake Rostam akauza hisa zake kwa Tsh Bilioni 450!
Sasa hapo mkuu unahamisha magoliKwahiyo kila anachomiliki Rostam ni Mali ya CCM?
Nakumbuka 2012 nilikuwa kwenye flight moja na jamaa wawili na mdada mmoja alikaa siti ya pembeni nikawa napigisha story akaniambia wametoka China kikazi na ni wafanyakazi wa Channel Ten.
She sounded well paid too, sababu niliingiza gia kuwa naishi States akaniambia nyie huko mnaendesha baiskeli wakati mimi nina Prado.
Kiufupi ilionyesha wazi kuwa wametoka trip ya kiserikali China na nilikutana nao kwenye connecting flight ya kutoka Addis Ababa. Nadhani kuna uhusiano tangu zamani kati yao na CCM.
Nakubali matusi yakoKama wewe sio kilaza sana basi watakuwa wamekumezesha matangopori vibaya ila uwachanganye watu makusudi wasielewe.
CCM kuwa na hisa kupitia Rostam ni upuuzi gani?
Zilikuwa Hisa za CCM halafu Rostam akauza hisa zake???
Ni pesa za chama chetu,tuliamua tuziwekeze
Ni Kama vile kamati kuu ya chadema ilipoamua iwekeze pesa kwenye chombo Cha propaganda ikaamua kuanzisha Tanzania daima kupitia chairman,matokeo yake ndio hivyo Tena[emoji24][emoji24]
Ili amtoe Ikram Aziz ndani.JIWE alipora Mali ya Rostam Aziz.
Naongelea Tanzania Daima,100% wazo lilianza kamati kuu,pesa imetoka chamani badae Mwenyekiti akazunguka akatwaa hisa kwa style ya kukikopesha chama,dhamana yake ashikilie hisa,matokeo yake ndio hivyo Tena😭😭Tanzania Daima, mwanahalisi na mawio havijawahi kuwa vyombo vya Chadema kama Uhuru ilivyo mali ya CCM. Vilikuwa ni vyombo vinavyomilikiwa na wanachama wa Chadema vikiwa mali zao binafsi.
Nakubali matusi yako
Hata mie ninaweza kuwa na hisa sehemu nikakuamini ukawa unazishikilia
Na unaweza kuziuza nisikufanye bila hata ridhaa yangu
Hujui Mambo ya biashara tunapirezeana muda tuHakuna kitu kitu kinaitwa kuzishikilia hisa.
Ukishikila hisa za mtu mwingine gawio la faida nani anapokea?
Huwezi kuziuza hisa za mtu mwingine zisizo zako mali yako?
Hivi ujinga wako utakwisha lini? Acha upuuzi wewe.Task Force ya Bashite ilipora Channel Ten!! Awamu ya 5 imefilisi wafanyabiashara Sana.
Hamna shida ila anaweza kumshambulia marehemu kwa dhumuni la kufikisha ujumbe kwa watu waliobaki duniani.Kumshambulia marehemu hakukusaidii,unaahirisha tu tatizo lako la msongo wa mawazo
Hivi ujinga wako utakwisha lini? Acha upuuzi wewe.
Kwa nini asichague alie hai?Hamna shida ila anaweza kumshambulia marehemu kwa dhumuni la kufikisha ujumbe kwa watu waliobaki dunia,
Kwa hiyo anashumbuliwa na kusemwa kwa mabaya yake ili walio hai wajirekeb ishe,
Uliloandika hujui kuhusu channel ten na kama hujui acha kuzusha ni upuuzi. Kazi ya JF ni kuelimisha si kupotosha wewe kiaziWewe ndio mjinga wa kutaka kkufunika ukweli kuhusu serikali ya 5 ya JIWE ilivyokuwa ya kitapeli.