SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Rostam Aziz aliwapa CCM hicho chombo ili kununua uhuru wa mdogo wake yule aliyekuwa anaendesha jeshi na mtandao mkubwa wa ujangili. Hiyo Chanel Ten na Magic FM ni pembe za ndovu wetu waliouwawa na hili jangili la Kiajemi. Tunaposema CCM ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala mtuelewe.