Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

Rostam Aziz aliwapa CCM hicho chombo ili kununua uhuru wa mdogo wake yule aliyekuwa anaendesha jeshi na mtandao mkubwa wa ujangili. Hiyo Chanel Ten na Magic FM ni pembe za ndovu wetu waliouwawa na hili jangili la Kiajemi. Tunaposema CCM ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala mtuelewe.
 
The boss siamini kama kuna chombo cha habari ambacho si mali ya CCM.
Na sio vyombo vya habari hata wanahabari wote Tanzania walishanunuliwa na CCM. Fikiria uandishi wa mtu kama Mayallah katika miaka 5 oliyopita. Fikiria magazeti ya Musiba nk
 
Walioungana wazi wazi na ccm kwa mgongo wa magu watajiangalia wao. Magu kaondoka.
 
Hizo hizo 60% za rostam vodacom zimeufanya mchango wako wote ukose credibility...unachangia kihisia sana kuliko uhalisia.
Anyway kabla ya kuuza hisa zake Rostam alimiliki 35% ya vodacom kupitia kampuni inaitwa Milambo na sio 60% km unavyotaka kutupiga kamba, na hata hisa za milambo ktk vodacom ni vodacom hao hao waliozilipia km capital the money didnt come from him(kuna gazeti moja la SA liliandika hii habari)..yy ilikua connection tu na connection ilitoka kwa balozi wa Tanzania SA Balozi Mpungwe huyu yy alipata deal la kuuza vocha...hii Milambo ilipaswa kua kampuni ya ccm, how it end mikononi wa Rostam vigogo wa juu wa ccm ndo wanajua vzuri zaidi.
 
Hapo kwenye red, hakuna maelezo zaidi?.
 
Milambo ilikuwa kampuni ya nini?
 
Hilo swala ni sawa na Vodacom
 
Anafanya kazi CCM Halafu ametoka China kwenye tripu ya kikazi ya serikali?
Hiyo TV kama siyo serikali (ya CCM) basi CCM wenyewe wana umiliki au ufadhili kwa namna fulani.
Au taasisi fulani ya kiserikali. Ulikuwa ni kama msafara fulani hivi wa semina.
 
Jamaa nilishamsahau huyu .... Duh Maghufuli RIP
 
Hivi huyo tramontano yupo au alitimuliwa nchini

Ova
 
Bashiru ndiye aliteitaifisha channel ten kuwa mali ya CCM. Sasa bashiru yuko bungeni kama kawaida ya CCM kudondosha viongozi ukifanya yako
 
Uongo mtupu. Rostam mwaka 2016 alipunguza hisa zake hadi kufikia 40% huko Vodacom baada ya kupewa uchungu mkweli utakaokuja baadaye. Kwa kuwa hakuwa ba sauti Vodacom akahisi atakuwa safe huku akivuta gawio kimya kimya ila Jiwe akaingia humo humo chimbo akazidaka na sasa maccm ndiyo yanamiliki hizo hisa asilimia 40. Na hapo palikuwa na ugomvi mkubwa kati ya Kinana na Jiwe.
 
Kwanini mali husika hazikuenda serikalini zikapelekwa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…