Thats a Gud money for CHADEMA. Kumshitaki huyo alietoa tangazo, na chombo kilichorusha hilo tangazo, kwa kutumia picha zao bila ridhaa ya mwenye picha maana hiyo si kampeni yao.
Sidhani kama sheria inaruhusu kutumia picha za mgombea pinzani kufanya kampeni. Hilo Tangazo halina tofauti na mtu aliyechana na kuvalisha Mbwa Fulana za kampeni ya Mgombea pinzani.