Elections 2010 Channel Ten na CCM zazindua matangazo ya kumchafua Dr. Slaa!

Hii inazidi kutupa mwangwi wa aina ya watu wanaotutawala..haiwezekani mtu mwenye akili timamu kubuni aina hii ya tangazo,tena dakika za majeruhi..nadani ni dalili za mfa maji..
 
Thats a Gud money for CHADEMA. Kumshitaki huyo alietoa tangazo, na chombo kilichorusha hilo tangazo, kwa kutumia picha zao bila ridhaa ya mwenye picha maana hiyo si kampeni yao.

Sidhani kama sheria inaruhusu kutumia picha za mgombea pinzani kufanya kampeni. Hilo Tangazo halina tofauti na mtu aliyechana na kuvalisha Mbwa Fulana za kampeni ya Mgombea pinzani.
 
nakubaliana na wewe kabisa, aibu pia hawana.
 
Hata swali walilouliza hapa kwa mgombea la kisenge tu
<br />
<br />
Mantissa, lugha hizi sio za JF!, ni lugha za matusi zinatushushia hadhi hapa JF yetu, tena una bahati wewe mode bado wamelala vinginevyo...
 
Back
Top Bottom