Channel za Liverpool na Real Madrid zitaanza kurushwa lini Azam TV?

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Wadau, hivi karibuni nimeona ongezeko la Channel kwenye dikoda yangu ya Azamtv, nimeona Channel ya Liverpool FC na Real Madrid. Ila sio active kwa sasa, kuna yeyote ana mwanga zitaanza kuonyesha Lini? Naiona kama ni hatua nzuri kwa jamaa wa Azam.
 
Hapo hamna kitu, ni mbinu tu ya kibiashara ili watu waendelee kuishi kwa matumaini. Azam is for local sports! Ukitaka kitu cha ukweli jitose tu na DSTV.
 
March 1/2015, tena wanaongeza na Azam 3 kwa ajili ya kuonyesha ligi kuu ya nchini Uganda.
 
Aise mkuu hii habari kama ni kweli itakuwa a huge boost kwa Azamtv, nilisoma kama vile kulikuwa na utata na ligi ya Uganda,au sio kweli?
 
Hapo hamna kitu, ni mbinu tu ya kibiashara ili watu waendelee kuishi kwa matumaini. Azam is for local sports! Ukitaka kitu cha ukweli jitose tu na DSTV.

Acha wivu wa usio na maana,kuna Chanel inaitwa wbs wanaonyesha game 1 ya epl kila week pia nyingine inaitwa wbs wanaonyesha uefa,fox sports 2 wanaonyesha eredivisie,ligue 1,copa del rey na championship, sasa wewe endelea tu kukaeriri dstv dstv kumbe unaliwa tu.
 
Aise mkuu hii habari kama ni kweli itakuwa a huge boost kwa Azamtv, nilisoma kama vile kulikuwa na utata na ligi ya Uganda,au sio kweli?

Na ndio maana wanaongeza chanel 1 ya wao wenyewe azam tv, itakuwa inaitwa azam three ambayo itakuwa inaonyesha ligi ya Nchini Uganda. Sema kuna kipindi superspot walikishtaki chama cha mpira wa miguu nchini uganda (FUFA) kuwa walikeuka makubaliano ya mkataba wao lakin mahakama ya kibiashana nchini uganda ilitupilia mbali malalamiko hayo ya superspot hivyo azam tv ndio walio na haki ya kuonyesha ligi kuu nchini uganda.
 
Acha wivu wa usio na maana,kuna Chanel inaitwa wbs wanaonyesha game 1 ya epl kila week pia nyingine inaitwa wbs wanaonyesha uefa,fox sports 2 wanaonyesha eredivisie,ligue 1,copa del rey na championship, sasa wewe endelea tu kukaeriri dstv dstv kumbe unaliwa tu.

Umesahau na URBAN TV wanaonyesha Bundes liga kila Jumamosi.
 
Na pia zbc2 nilisahau wanaonyesha either bundesliga au serie A kila weekend.hahahahha eti dstv wacha walipe $110 sisi tulipe 12500.😀
 
Tena nakuambia ndugu kuna mapinduzi makubwa sana ambayo azamtv watayafanya march 1/2015........12500 unaona Vpl, League 1, Eredivisie na nk!!! pamoja na Copa de Rey!?
 
Mkuu vp kuhusu liverpooltv na realmadrid tv watakuwa wanarusha na live au recorded tu?
 
Tena nakuambia ndugu kuna mapinduzi makubwa sana ambayo azamtv watayafanya march 1/2015........12500 unaona Vpl, League 1, Eredivisie na nk!!! pamoja na Copa de Rey!?
safi sana Mkuu
lakini hatujaridhika mpaka waweke hata Super Sport angalau 3 kuliko kwenda huko Copa Cabana
 
Mimi ni mtumiaji wa kisambuzi cha AZAM TV,ndani ya wiki kadhaa wameongeza channel za "Sports" za Liverpool na Real Madrid,lakini cha ajabu ni kuwa kila nikichagua ili nitazame uhondo wa channel hizi nakutana na maneno "This smart card is not valid" au "Access denied".
Mwenye kujua,je nahitaji kufanyaje ili kuona hizi channel?kuna malipo mahususi ili kuona channel hizi?...Au zimeongezwa tu na bado hazijaanza kuwa active??Msaada tutani wadau
Ni Mimi #Ngaliba Dume toka milima ya odzungwa
 
ImageUploadedByJamiiForums1425048363.884869.jpgImageUploadedByJamiiForums1425048391.148440.jpgImageUploadedByJamiiForums1425048409.500232.jpg
 
Wadau, hivi karibuni nimeona ongezeko la Channel kwenye dikoda yangu ya Azamtv, nimeona Channel ya Liverpool FC na Real Madrid. Ila sio active kwa sasa, kuna yeyote ana mwanga zitaanza kuonyesha Lini? Naiona kama ni hatua nzuri kwa jamaa wa Azam.
hata kama zikianza kuonyesha usitegemee kuona mechi ya timu hizo live, huwa wanaweka mechi zao ambazo si live. mi kuna decoder fulani nilikuwa natumia ilikuwa ina man utd tv channel, hata siku moja hawakuwahi kuonyesha mechi live, mechi ikishachezwa ndio badaye wanaionyesha. kwa hiyo hakuna jipya hapo
 
Back
Top Bottom