Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau, hivi karibuni nimeona ongezeko la Channel kwenye dikoda yangu ya Azamtv, nimeona Channel ya Liverpool FC na Real Madrid. Ila sio active kwa sasa, kuna yeyote ana mwanga zitaanza kuonyesha Lini? Naiona kama ni hatua nzuri kwa jamaa wa Azam.
Hapo hamna kitu, ni mbinu tu ya kibiashara ili watu waendelee kuishi kwa matumaini. Azam is for local sports! Ukitaka kitu cha ukweli jitose tu na DSTV.
Aise mkuu hii habari kama ni kweli itakuwa a huge boost kwa Azamtv, nilisoma kama vile kulikuwa na utata na ligi ya Uganda,au sio kweli?
Acha wivu wa usio na maana,kuna Chanel inaitwa wbs wanaonyesha game 1 ya epl kila week pia nyingine inaitwa wbs wanaonyesha uefa,fox sports 2 wanaonyesha eredivisie,ligue 1,copa del rey na championship, sasa wewe endelea tu kukaeriri dstv dstv kumbe unaliwa tu.
Umesahau na URBAN TV wanaonyesha Bundes liga kila Jumamosi.
Na pia zbc2 nilisahau wanaonyesha either bundesliga au serie A kila weekend.hahahahha eti dstv wacha walipe $110 sisi tulipe 12500.😀
Tena nakuambia ndugu kuna mapinduzi makubwa sana ambayo azamtv watayafanya march 1/2015........12500 unaona Vpl, League 1, Eredivisie na nk!!! pamoja na Copa de Rey!?
Umesahau na URBAN TV wanaonyesha Bundes liga kila Jumamosi.
safi sana MkuuTena nakuambia ndugu kuna mapinduzi makubwa sana ambayo azamtv watayafanya march 1/2015........12500 unaona Vpl, League 1, Eredivisie na nk!!! pamoja na Copa de Rey!?
Mimi ni mtumiaji wa kisambuzi cha AZAM TV,ndani ya wiki kadhaa wameongeza channel za "Sports" za Liverpool na Real Madrid,lakini cha ajabu ni kuwa kila nikichagua ili nitazame uhondo wa channel hizi nakutana na maneno "This smart card is not valid" au "Access denied".
Mwenye kujua,je nahitaji kufanyaje ili kuona hizi channel?kuna malipo mahususi ili kuona channel hizi?...Au zimeongezwa tu na bado hazijaanza kuwa active??Msaada tutani wadau
Ni Mimi #Ngaliba Dume toka milima ya odzungwa



Mkuu,kwa malipo haya haya au wataongeza ghalama?Subiri tarehe 1 March zitaanza kuonekana
Mkuu,kwa malipo haya haya au wataongeza ghalama?
Unaangalia liverpool tv na real madrid tv kwa kiasi kile kile cha 12500.
hata kama zikianza kuonyesha usitegemee kuona mechi ya timu hizo live, huwa wanaweka mechi zao ambazo si live. mi kuna decoder fulani nilikuwa natumia ilikuwa ina man utd tv channel, hata siku moja hawakuwahi kuonyesha mechi live, mechi ikishachezwa ndio badaye wanaionyesha. kwa hiyo hakuna jipya hapoWadau, hivi karibuni nimeona ongezeko la Channel kwenye dikoda yangu ya Azamtv, nimeona Channel ya Liverpool FC na Real Madrid. Ila sio active kwa sasa, kuna yeyote ana mwanga zitaanza kuonyesha Lini? Naiona kama ni hatua nzuri kwa jamaa wa Azam.