Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,230 Reaction score 6,742 Feb 12, 2024 #21 kingkimwe said: Et hadi Utv wamenikatia mie maisha yashakua magum sasa Click to expand... Hahah mzee baba hii yako kali kwani tangu ununue kisimbuzi haujawahi kulipia kabisa ama nini? π
kingkimwe said: Et hadi Utv wamenikatia mie maisha yashakua magum sasa Click to expand... Hahah mzee baba hii yako kali kwani tangu ununue kisimbuzi haujawahi kulipia kabisa ama nini? π
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,230 Reaction score 6,742 Feb 12, 2024 #22 KakaJambazi said: Wasafi ni ya nchi gani? Click to expand... Ni ya TZ ila sijajua kigezo ni kwanini inakuwa hivyo, the same applies kwa Capital Television, kwenye baadhi ya visimbusi usipolipia huioni, sa sijui ina content gani
KakaJambazi said: Wasafi ni ya nchi gani? Click to expand... Ni ya TZ ila sijajua kigezo ni kwanini inakuwa hivyo, the same applies kwa Capital Television, kwenye baadhi ya visimbusi usipolipia huioni, sa sijui ina content gani