Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mweee......unataka nifukuzwe kwenye jamii eeeh.....
Ok....basi tuelezane namna ya kuziblock wengine wasione.......nione mwenyewe.....he he he he........
wakuu haya maujuzi si ya kumwaga kwa watu ambao hatufaamiani...kati yenu kuna maagent wa dstv wakishajua anawatonya makabulu wanadisconect...kifupi ni kwamba jamaa anayefanya hizi mambo anatoka huko huko dstv...mchekini mkuu chipukizi hapo juu naona ana ujanja mwingine...
hebu nielekeze ulipoitupa nkaiokotenshawachakachua kitambo.....nakula chanel zao zote bure kabisa....decoda yao nshatupa kule....
namna shetani anavyotumia mawakala wake kusambaza dhambi na tabia chafu. one day you will pay for this unless you repent and turn to God.Step 1: On the remote press menu, then choose 'Advanced options' then choose 'Dish installation' Step 2: the pin code is 9949 Step 3: You will notice a screen that has Network 1, Network 2, Network 3, More Networks. NB: Ignore Network 1, it is for all the channels you currently have. Step 4: From Network 2 & onwards Enter the following Information: NB: The Satellite name you create for ALL is (DSTV PAS7) Once done select 'Scan all networks'. It should then scan for 3-4 minutes. Your 100+ New Channels can be found under ('Public Bouquet'). Should you screw up anywhere simply choose 'Restore Factory Settings". You should now receive Islam TV from U.K,EROTIC TV, ITV from S.A, Botswana TV,Porn channel and much much more
Kwamba wewe hujawahi tenda dhambi?namna shetani anavyotumia mawakala wake kusambaza dhambi na tabia chafu. one day you will pay for this unless you repent and turn to God.
Chezea porn?!Wafukua Makaburi Ya 2012
Kweli watu wamevurugwa.Chezea porn?!
Zipo nyingi sana, wewe huzijui kumbe?Bado zipo hizo chaneli?