kudra hamidu
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 152
- 107
We nawe ni jipu, its celebrities forum unataka akuzungumzie wewe au?wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
Celebrities forumwabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
Unataka huku kwenye celebrities forum pajadiliwe nini?Mwanaume anapotumia muda wake kujua chanzo cha matatzo binafs ya watu ni upuuzi,tumia mda wako kujiulza chanzo cha umaskin wako ni nin hyo itakusaidia wew na kizaz chako.
We we ni jipu kwenye hii forum.kama hautaki mambo hayo kaa mbali na show.Mwanaume anapotumia muda wake kujua chanzo cha matatzo binafs ya watu ni upuuzi,tumia mda wako kujiulza chanzo cha umaskin wako ni nin hyo itakusaidia wew na kizaz chako.
Jide huwa hapendi kuonekana yuko inferior ndo maana.Inaonyesha jide bifu lake haliishagi milele
Umefuata nini huku?wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."