Chanzo bifu la Binti machozi na Ruge Mutahaba

Chanzo bifu la Binti machozi na Ruge Mutahaba

TE="Jephta2003, post: 16215797, member: 9558"]Hawa watu zamani walikuwa wanatoka(wapenzi), nakumbuka jide na ruge walienda south africa sijui kulikuwa na award gani but walishare chumba, naona baada ya kumwagana mmoja hakukubali matokeo[/QUOTE]
Daah! Huyu jamaa si atakuwa kampitia kila mrembo aliyejihusisha na mawingu kwa namna yeyote ile.
 
Si ndo hili bifu lilimkumba hadi mzee wa asanteni kwa kuna AKA binamu
 
Mi naanzia pale Msanii na Meneja wake walipoenda kwenye Tuzo kwa Madiba! Kutokana na jiji la Capetown hiyo cku kuwa na wageni wengi kupita kiasi; ikashindikana Meneja na Msanii wake kupata vyumba viwili na hivyo kulazimika "bila kupenda" Meneja ku-share room na Msanii wake!

Hitimisho la simulizi yangu ni kibao Rafiki kwahiyo mwingine anaweza kuongeza nyama!
Yaani..walikuwa na ushirikiano wa hali ya juu sana, sasa sijui ni shetwani gani alikuja kupita kati yao hawa ndugu....
 
Yaani..walikuwa na ushirikiano wa hali ya juu sana, sasa sijui ni shetwani gani alikuja kupita kati yao hawa ndugu....
Kikulacho hakipo mbali! Kumbe walikuwa watu wa karibu
 
Jide ana low self esteem, possibly as a result of her not having a child. Sasa hii imempelekea kuwa na poor self-image. She wrongly thinks that all people surrounding her view her through the mirror of her not having a child. Hii inamfanya anakuwa na overreacting even for things that are generally minor. This problem is basically psychological, and for such problems to be solved, they demand more self-awareness than the help of others. Yaani in short ni yeye mwenyewe anapaswa atambue tatizo lake.
Ume kong'ota target.
 
Nilijua umeleta chanzo cha bifuuu kumbe na ww unataka kujua hebu.lete chanzo cha bifuu jipya lnalokick huko insta now kat ya shishi na v money
 
Back
Top Bottom