Chanzo bifu la Binti machozi na Ruge Mutahaba

TE="Jephta2003, post: 16215797, member: 9558"]Hawa watu zamani walikuwa wanatoka(wapenzi), nakumbuka jide na ruge walienda south africa sijui kulikuwa na award gani but walishare chumba, naona baada ya kumwagana mmoja hakukubali matokeo[/QUOTE]
Daah! Huyu jamaa si atakuwa kampitia kila mrembo aliyejihusisha na mawingu kwa namna yeyote ile.
 
Siri ya wawili mengine yote ni vijisababu tuu
 
Si ndo hili bifu lilimkumba hadi mzee wa asanteni kwa kuna AKA binamu
 
Yaani..walikuwa na ushirikiano wa hali ya juu sana, sasa sijui ni shetwani gani alikuja kupita kati yao hawa ndugu....
 
Yaani..walikuwa na ushirikiano wa hali ya juu sana, sasa sijui ni shetwani gani alikuja kupita kati yao hawa ndugu....
Kikulacho hakipo mbali! Kumbe walikuwa watu wa karibu
 
Ume kong'ota target.
 
Nilijua umeleta chanzo cha bifuuu kumbe na ww unataka kujua hebu.lete chanzo cha bifuu jipya lnalokick huko insta now kat ya shishi na v money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…