macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Imani za kale kabisa hizi. Dunia ya sasa hazina nafasi. At least kwa nchi zilizoendelea. Huu ujinga umebaki huku kwetu madongo kuinama!Kuna meneja wa TRA mmoja huko kigamboni aliwahi piga faini duka moja la hardware faini ya 10mil kwa kosa la kusahau kutoa listi kwa mteja, lakini baada ya wiki meneja huyo aliumwa ugonjwa wa ajabu uliopelekea yeye kuacha kazi
Hizi ni ramli tu.
Uchizi wake unahusiana vipi na kuchana Quran?
mbona hajaenda kurusha mawe kambi ya jeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna cha kipapai wala ndimu ,jamaa alifanya kweli, haya mengine ni kuwapoza wenye kitabu chao waendelee kukiamini tuIla hata kama ni kweli kapigwa kipapai lakini naturally jamaa ni mtemi.
hakuna kipapai hapo,jamaa kachana kweli kitabu anachoamini si maneno ya MUNGU wa kweli, na kachana kweliKatika kufuatilia chimbuko la kisa cha Afisa biashara aliyeonekana akichana kitabu cha Qur'an!
Moja mwananchi ambaye hakutaka jina lake litajwe; Amesema Aliwahi kufungiwa biashara yake changa na afisa huyo walipo mkamata na mgambo wa halmashauri kwa kudaiwa kutokuwa na leseni;
Pamoja na kujitetea kuwa biashara yake ilikuwa changa na alikuwa tayali kashaanza mchakato wa kukata leseni lakini Afisa huyo pamoja na wenzake ( walimfungia biashara yake na kuondoka naye kimabavu kiasi cha kulipishwa faini ambayo hata hakupewa risiti!
Mnyetishaji huyo alizidi kusema, matendo ya afisa huyo yameumiza wafanya biashara wengi kwa kutisha na kukamata wafanya biashara!
Mnyetishaji huyo anasema Kitendo cha kuchana Quran ilikuwa ni mwanzo tu wa pigo katika kuelekea kutembea uchi!
Na iwe fundisho kwa maafisa wengine wanaotumia nafasi zao kunyanyasa wengine!
Waziri Jafo mnamo tarehe 7 feb 2020 alitoa tamko la kumsimamishwa kazi mtumishi huyo na kumwagiza mkurugenzi wa kilosa kumchukulia hatua ya nidham! Kwa maana hii mkurugenzi usisahau kupitia namna alivyokuwa akitekeleza majukumu yake kama mtumishi wa serikali ili kubaini kama kuna mazingira ya Rushwa yalifanyika hadi kupelekea mtumishi huyo kuchanganyikiwa!
View attachment 1351608
Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona machizi Ni wengi tu, Kuna aliyechana Katiba ya chadema akatoa ukomo wa mwenyekiti, Kuna aliyeenda kuziba mkopo wa shule WB,Hata Mimi niliwaza hivyo. Huyu Jamaa NI mwendawazimu. Katika Hali ya kawaida MTU ambae kichwani zinamtosha hawezi kufanya upuuzi kama huo tena mbele ya camera
Isijekuwa ndiye aliyemroga manake Hilo tukio la kutisha mno naona alirogwaHuyo mganga tunamhitaji tumkabidhi kesi ya waliomdhuru Lissu
Hizi ni ramli tu.
Uchizi wake unahusiana vipi na kuchana Quran?
mbona hajaenda kurusha mawe kambi ya jeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata kama ni kweli kapigwa kipapai lakini naturally jamaa ni mtemi.
Ksbisaa
Ksbisaa
Asubiri yatokanayo....Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubiri yatokanayo....Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kipapai hapo,jamaa kachana kweli kitabu anachoamini si maneno ya MUNGU wa kweli, na kachana kweli
Nilisema kuwa ametengenezewa kesi. Hiyo quran angeitoa wapi katika mazingira hayo. Mtu anampa mtu quran eti chana hii kama inachanika huku akijua itachanika. Na hizi ndo zimekuwa tabia za waislam kuanzisha chokochoko wapate pa kuanzia ugomvi. Tutafika?
Uchawi haupo, huo ni uongo.Kuna meneja wa TRA mmoja huko kigamboni aliwahi piga faini duka moja la hardware faini ya 10mil kwa kosa la kusahau kutoa listi kwa mteja, lakini baada ya wiki meneja huyo aliumwa ugonjwa wa ajabu uliopelekea yeye kuacha kazi
Sasa mbona unamchagulia chizi cha kufanya boss?Hizi ni ramli tu.
Uchizi wake unahusiana vipi na kuchana Quran?
mbona hajaenda kurusha mawe kambi ya jeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app