Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

Wewe pia unafaa kuisaidia polisi..huenda ndo ulikua starring wa movie hii..
Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na familia nyingi,nusu wakristo,na nusu waislamu.Wanakutana kwenye msiba,sherehe,mikutano ya ukoo.Wapo wafanyakazi wakristo wa majumbani,wanafanya kwa waislam na wapo wafanyakazi waislamu,wanafanyakazi kwa wakristo,na wanaishi na kulala,nyumba moja.
Mi naamini hakuna chuki kati ya Waislamu na Wakristo Nchi hii zaidi ya kuwa turufu ya Wanasiasa tu! Wakristo wana nyumba, wapangaji Waislamu! Waislamu wana nyumba, Wapangaji wakristo! Huku Uswahilini mpk vyakula tunapeana! Tunapanda mabasi pamoja, shule na vyuo tunasoma pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii meseji yako imemaliza kila kitu.
 
Unaona sasa! Mpk na kuoleana tunaoleana kwa dini hz
Na familia nyingi,nusu wakristo,na nusu waislamu.Wanakutana kwenye msiba,sherehe,mikutano ya ukoo.Wapo wafanyakazi wakristo wa majumbani,wanafanya kwa waislam na wapo wafanyakazi waislamu,wanafanyakazi kwa wakristo,na wanaishi na kulala,nyumba moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo alikua anatokea Shinyanga bar. Jiulize juzuu kaitoa wapi kama sio muislamu aliyempa?
Mapolisi jiulizeni kaitoa wapi na ndani ya bar hakuwa nayo? Na huyo aliyempa juzuu muulizeni kwanini alimpa?
 
ningeshauri huyo bwana apimwe akili kwa mtu wa kawaida hawezi fanya hicho kitendo
 
Dogo alikua anatokea Shinyanga bar. Jiulize juzuu kaitoa wapi kama sio muislamu aliyempa?
Mapolisi jiulizeni kaitoa wapi na ndani ya bar hakuwa nayo? Na huyo aliyempa juzuu muulizeni kwanini alimpa?
Kwahiyo angepewa Kondom angeivaa palepale?
 
Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
unavuta bange mkuu?watakuja kukwambia hata ulichoandika kimesababishwa na mmea
 
Kwahyo jamaa ilikuwa framed ..pombe ndyo imesababisha walengwa kutimiza lengo lao la kumframe jamaa
Hayo maeneo aliyochania hiyo quran me napajua ni opposite na stendi ya mabasi ya kilosa kuna bar inaitwa Shinyanga then pembeni kuna kijiwe cha bodaboda. Hao bodaboda huwa wanaanza kuwatania walevi wa hiyo bar kwa kuwaambia kuwa hawawezi kufanya jambo fulani hata akilewa vipi. Sasa mlevi akiona hivyo anatafuta namna ya kudhihirisha atafanya nini ili aonekane jasiri.
Huyo afisa biashara ni mlevi mbwa alikuja kulewa hapo bar, baada ya kulewa ndo akakutana na bodaboda wakaanza kumwita mlokole gani wewe unalewa hovyo, akajibu dini yake ndo bora kuliko dini yoyote hata hao waislam si lolote kwake. Bodaboda mmoja akampa juzuu amma akamwambia ichane hii kama unaweza. Huyo mlevi akaichukua akaanza kuichana huku wanamrekodi video. Ndio mwanzo wa hiyo issue.
So yawezekana ni kweli karogwa ndo maana anafanya vitu nje ya self control au pombe ndio imempelekea kupata ujasiri wa kuchana maneno ya Allah (s.w)
Mengine nawaachia wahusika!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio excuse maana hata mume wa zamaradi watu walimpandisha hasira ili wamrekodi akiwa na bastola
Asante kwa taarifa. He was the under influence of alcohol. Jeshi la polisi lianze na aliyemchukua video, na aliyempatia hiyo kurani ili liwe fundisho kuacha kufanya intimidation.
 
Back
Top Bottom