Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

UCHAWI ndiyo mahali pake 😀Kilosa wilaya za kwanza kwanza na kongwe lakini hazijawahi kukua wala kusonga mbele....

Everyday is Saturday................😎
 
Huku k.Mr kuna traffic alisimamisha kirikuu ya mpemba imejaa samaki mbwa yule akaombwaa andike faini wapii Anamjibuu asimsumbue ataandika anavyotaka ..TOKA satatuu asbh mpaka sanane anaiachia gari na ANATAKA 15" 000
Jamaa kammwambiaa niandikie faini ntalipaa WEWEE amelipaa AKAMWAMBIA ahsante sanaaaa


Kazii ikaanza Keshoyake kakamata gari mwendokasi akaomba HELA KUMBE NYUMA kuna afisa ananyota zake toka central...alipopokea akashuka jamaa akamfwata akachukua kofia akamwonyesha id yake AKAMWAMBIA nikukute MBEZI....kituoni

akahamia pale kuandika ripoti za wezi na wahuni reception

baadae ijumaaa sikunne tu akapigwa KITU UPANDE mzimaaa aufanyi kazii
gafla akaenda tanga kurudi AKAWA ana kanafuu jamaa akasikia

weeeeee akamtengeneza vilivyo this time alipgwaa mzigo WA MAANA wakamkimbiza KMR HOSPT BAADA yàhapoo n marehemu
 
chizi anaitafuta quran ilipo?.
Kuna vitu vya kutetea ila sio hivi.
Wakristo na waislam tusigombanishwe na huyu MPUMBAVU mmoja.
Kuwa muislam sio sababu ya kuuchukia ukristo na kuwa mkristo sio sababu ya kuuchukia uislam kila mtu ABAKI NA IMANI YAKE.
kuanza kuchana vitabu vya mwenzio huo ni uchokozi.
mkristo SOMA Biblia,muislam SOMA QURAN.
Sasa mbona unamchagulia chizi cha kufanya boss?

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjingamimi, Sasa chizi anapangiwa cha kufanya mkuu?

Chizi ni chizi tu,humuoni yule shoga anayejiita Nabii tito kila siku anafanya upuuzi wake huko barabarani huku ameshikilia bible na kuhubiri.

Swali,kwanini ashikilie bible?

dodge
 
Jembekillo, Mkuu kweli unaijua kilosa du! Mie niliondoka kilosa mwaka 2003 nilikua naishi hapo pembezoni mwa shinyanga hotel kuna ghorofa ambalo lilikua lina itwa COMFORT HOTEL kipindi hicho na hiyo hotel tulikua tunaiyendesha sisi mpinzani wetu wa biashara mkubwa aliku ni huyo shinyanga hotel ambaye kwa sasa ni marehemu.

COMFORT HOTEL ndiyo mahala pekee kipindi hiko walipata au tulipata kuonyesha msiba wa baba wa taifa mwalim julias kambarage nyerere kupitia luninga na kupitia Chanel ya ITV ambapo kwa kipindi hiko kulikua hakuna ITV kilosa nzima tulikua tunapata ITV kupitia satellite dish hivyo umenikumbusha mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo uchizi mna uhakika kuwa ni CHIZI?
kwani serikali inawafanya kazi machizi?
Sasa chizi anapangiwa cha kufanya mkuu?

Chizi ni chizi tu,humuoni yule shoga anayejiita Nabii tito kila siku anafanya upuuzi wake huko barabarani huku ameshikilia bible na kuhubiri.

Swali,kwanini ashikilie bible?

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini hakuna chuki kati ya Waislamu na Wakristo Nchi hii zaidi ya kuwa turufu ya Wanasiasa tu! Wakristo wana nyumba, wapangaji Waislamu! Waislamu wana nyumba, Wapangaji wakristo! Huku Uswahilini mpk vyakula tunapeana! Tunapanda mabasi pamoja, shule na vyuo tunasoma pamoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.
 
Hakuna chuki yoyote! Itakuwa yule jamaa alitupiwa kajini kanafunzi !
 
Kama ni kweli hili swala hivo, basi kuna tatizo mahala, siitofautishi sana ishu hii na Ile ya mbagala ambayo mtoto alikojolea Quran na watu wakapanick,
Mambo ambayo msingi wake inaanzia kwenye utani na maskhara yanageuzwa tukio kirahisi kabisa,
Hakukuwa na hata haja ya waziri kuingilia Kati jambo ambalo limeanzishwa kama utani na maderva boda boda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama chanzo cha kuchana quran ni kurogwa basi dozi ya urozi ingemkolea angeenda kuharishia msikiti na kumkojolea imam kwenye mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua najiuliza... Hiyo korani ilitoka wapi...lakini kwanini achukuliwe video...

Lakini most of all kwanini washee hiyo video.
Nafikiri hao jamaa walio istage hii event ni vichaa zaidi ya huyo. Na ni watuhumiwa sawa sawia na wahalifu wengine.

Jamaa kaharibiwa makusudically na wahuni.

Nisingemfukuza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…