Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

Wewe pia unafaa kuisaidia polisi..huenda ndo ulikua starring wa movie hii..
 
Na familia nyingi,nusu wakristo,na nusu waislamu.Wanakutana kwenye msiba,sherehe,mikutano ya ukoo.Wapo wafanyakazi wakristo wa majumbani,wanafanya kwa waislam na wapo wafanyakazi waislamu,wanafanyakazi kwa wakristo,na wanaishi na kulala,nyumba moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii meseji yako imemaliza kila kitu.
 
Unaona sasa! Mpk na kuoleana tunaoleana kwa dini hz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo alikua anatokea Shinyanga bar. Jiulize juzuu kaitoa wapi kama sio muislamu aliyempa?
Mapolisi jiulizeni kaitoa wapi na ndani ya bar hakuwa nayo? Na huyo aliyempa juzuu muulizeni kwanini alimpa?
 
ningeshauri huyo bwana apimwe akili kwa mtu wa kawaida hawezi fanya hicho kitendo
 
Dogo alikua anatokea Shinyanga bar. Jiulize juzuu kaitoa wapi kama sio muislamu aliyempa?
Mapolisi jiulizeni kaitoa wapi na ndani ya bar hakuwa nayo? Na huyo aliyempa juzuu muulizeni kwanini alimpa?
Kwahiyo angepewa Kondom angeivaa palepale?
 
unavuta bange mkuu?watakuja kukwambia hata ulichoandika kimesababishwa na mmea
 
Kwahyo jamaa ilikuwa framed ..pombe ndyo imesababisha walengwa kutimiza lengo lao la kumframe jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio excuse maana hata mume wa zamaradi watu walimpandisha hasira ili wamrekodi akiwa na bastola
Asante kwa taarifa. He was the under influence of alcohol. Jeshi la polisi lianze na aliyemchukua video, na aliyempatia hiyo kurani ili liwe fundisho kuacha kufanya intimidation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…