Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni


Sooo ni km mtu anavyobambikiziwa bangee?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa chizi anapangiwa cha kufanya mkuu?

Chizi ni chizi tu,humuoni yule shoga anayejiita Nabii tito kila siku anafanya upuuzi wake huko barabarani huku ameshikilia bible na kuhubiri.

Swali,kwanini ashikilie bible?

dodge

Lakini mbona wote hatutumii ht Dakika moja tuu kuwaza ni wapi huyu jamaa aliipata Qoran tukufu?Alikuja nayo toka nyumbani na kuingia nayo baa?
Kama inavyosemekana alikuwa amelewa....je hao waliompatia Qoran (wakimjaribu) wangemtaka awapige na akawapiga wangeenda polisi kushitaki?
Uhalifu huu Ametenda kwa matakwa yake mwnyw au amechagizwa atende??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates

Huyo jamaa bundi kazidi kumuandama tena na leo; magufuli kamfukuzia mbali!
Yaaan anapigwa kama mpira wa kona!

Kiufupi ndugu zake wajiandae kwa lolote kuanzia sasa! Vinginevyo Mkono wa Mungu uingilie kati

Update yako ndio ni leo
Ila kama ungeweka tarehe ingekuwa pbora zaidi kutimiza lengo la wewe kutoa update
 
Hiyo ishu hata kama ilikua staged, jamaa ni mpumbavu, imeshakula kwake.
Aende akapambane na hali yake. Inaonekana ana kibri. Ashawatia janga wategemezi wake.
 
Hatuhitaji kujua aliipata wapi lakini tunaangalia aliifanyaje baada kuipata;
Mfano hata mwanafunzi akiingia chumbani kwako akiwa uchi, haina maana ndo umtie
 
Wewe una chuki na waislam, watu wamesema boda boda ndo walimpa wewe unasema waislam wana choko choko usitafute la moyoni mengine tuache tuyahifadhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimkubali jamaa anaichana quran halafu anaitemea mate. Hii ni bonge ya dharau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miafrika kila kitu kurogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…