Great thinker mpo bado
Ngoja tuone hao wanajeshi walikuwa mashoga ama
Kila kitu kinawezekana
Ila wanasema kulikuwa na upungufu wa controllers hapo airport
Hao hao ndio walikuwa wanaruhusu ndege zitue na hao hao wanaruhusu zipae huku wakitoa uangalizi wa helicopter za jeshi na ndege
Bado kuna masiku mbeleni kujua