Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Naona hili bifu kati ya Gigy Money na Nandy linazidi kupamba moto kila kukicha. Ila tuseme ukweli Nandy ana dharau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Gigy yupo busy kusema anamjua Nandy kuanzia ncha ya kidole cha mguu mpaka ncha ya mwisho ya unywele wake anasubiri Nandy alete fyoko fyoko amuanike mchana kweupe maana angle zote anazijua na anajua amuanike wapi maana amezidi sana ku fake fake maisha.
Kinachomuuma zaidi Gigy, Nandy hana time naye, Gigy akipost vijembe kuhusu Nandy, Nandy anamjibu kwa kumuonesha dharau za pesa alizonazo ambazo Gigy ataishia kuziota tu ndotoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Gigy anachofeli anataka kuzungumzia habari za TBT wakati dunia ya sasa haipo hivyo, watu tunaangalia unamiliki nini na sio uliwahi kumiliki nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi yetu macho tu, ngoja tuone wataishia wapi na bifu lao uchwara