Kumekuwa na wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA kukihama Chama hicho. Chanzo ni ni?.
(1) Njaa. Wengi wa wanachama walifikiria kuwa Chama hicho kitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu. CHADEMA walipokuja na Kaulimbiu ya NO REFORM NO ELECTION wachache wenye njaa wakaona kukaa muda wa miaka mitano bila kazi yeyote ya kuingiza kipato haitawezekana. Hivyo wakaona watafute fursa pengine ili wapate kuganga njaa.
(2) Vyama vyenye nguvu ya fedha kudhoofisha CHADEMA. Ni kweli fedha ni sabuni ya roho. Ukiwa na fedha wewe ni mfalme Mtu mwenye njaa akipewa fedha atapiga tu magoti. Hii ni mbinu ya pili iliyowafanya wanachama wengi wa CHADEMA kuhama.