Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari zenu wandugu.Leo ni jumatatu najuwa wengi tupo katika mihangaiko ya kutafuta riziki ya kila siku.
Niingia katika madaDunia hii tunayoishi ilianzia wapi,nini chanzo chake,hayo ni baadhi ya maswali machache ambayo yanatawala katika fikra za binadamu katika Misha ya kila siku.Kuna nadharia mbalimbali zinazoeleza chanzo cha dunia lakini nadharia hizo hazitoi majibu sahihi kabisa.Hebu soma hapa
Mwanasayansi wa elimu ya viumbe Athanasius Kircher(1601-1680) alikuwa na tufe lenye sura ya dunia lililofanywa kwa ustadi sana.Siku moja rafiki yake aliyekuwa haamini kuwa kuna Mungu,aliuliza:
"Nani aliyeufanya mfano wa dunia hivi?Kircher akajibu"Hakuna mtu,umejifanya mwenyewe".Mgeni wake akasema"Unanichekesha,aliyeufanya mfano huu,lazima awe mstadi mkubwa,jinsi gani?
Kircher akahoji"Hutaki kukubali ya kuwa mfano huu dhaifu wa tufe la dunia umejifanya wenyewe lakini unakaza kufundisha kuwa dunia kubwa jinsi hii imejifanya yenyewe.
Chanzo cha dunia yetu na mazingira yetu yaliyotuzunguka ukiyatizama kwa jicho la ndani utaona kuwa lazima kuna nguvu from out side iliyofanya na kupanga mambo yote haya.
Wale wanaoamini Mungu na wale Atheism naomba kuhoji dunia hii imetoka wapi?vipi kuhusu hatima yake?
Nawakaribisha
great thinker