Chanzo cha dunia tunayoishi imetoka wapi?

Chanzo cha dunia tunayoishi imetoka wapi?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wandugu.Leo ni jumatatu najuwa wengi tupo katika mihangaiko ya kutafuta riziki ya kila siku.
Niingia katika madaDunia hii tunayoishi ilianzia wapi,nini chanzo chake,hayo ni baadhi ya maswali machache ambayo yanatawala katika fikra za binadamu katika Misha ya kila siku.Kuna nadharia mbalimbali zinazoeleza chanzo cha dunia lakini nadharia hizo hazitoi majibu sahihi kabisa.Hebu soma hapa

Mwanasayansi wa elimu ya viumbe Athanasius Kircher(1601-1680) alikuwa na tufe lenye sura ya dunia lililofanywa kwa ustadi sana.Siku moja rafiki yake aliyekuwa haamini kuwa kuna Mungu,aliuliza:

"Nani aliyeufanya mfano wa dunia hivi?Kircher akajibu"Hakuna mtu,umejifanya mwenyewe".Mgeni wake akasema"Unanichekesha,aliyeufanya mfano huu,lazima awe mstadi mkubwa,jinsi gani?

Kircher akahoji"Hutaki kukubali ya kuwa mfano huu dhaifu wa tufe la dunia umejifanya wenyewe lakini unakaza kufundisha kuwa dunia kubwa jinsi hii imejifanya yenyewe.

Chanzo cha dunia yetu na mazingira yetu yaliyotuzunguka ukiyatizama kwa jicho la ndani utaona kuwa lazima kuna nguvu from out side iliyofanya na kupanga mambo yote haya.

Wale wanaoamini Mungu na wale Atheism naomba kuhoji dunia hii imetoka wapi?vipi kuhusu hatima yake?
Nawakaribisha

great thinker

 
Wewe upo upande gani mkuu. Unaamini katika Mungu au atheist?
Mimi nipo dailema kwa sababu ukifikiria Mungu bado kuna mapungufu mengi hata huko atheism

great thinker
 
nawajua,
kiumbe kutaka muumba aumwe ni finite view of infinity God the creator.
Kwa maana hiyo Mungu hakuumbwa,sasa alitoka wapi?au kwenye sayayi zingine ambazo ndo zimegundulika hv karibuni au ndo kiongozi mkuu wa alliance

great thinker
 
Wanasema, God created out of nothing. There were even no space and time, where did He stay? Ukienda sana hakuna jibu wewe jua dunia ipo ila mwanzo wake hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mi nadhani hata wale watalamu wa elimu ya uumbaji walikosa majibu kuhusu chanzo cha dunia.Let assum kuwa dunia created of nothing sasa vipi kuhusu mazingira mbona kma yamepangiliwa

great thinker
 
Kwa maana hiyo Mungu hakuumbwa,sasa alitoka wapi?au kwenye sayayi zingine ambazo ndo zimegundulika hv karibuni au ndo kiongozi mkuu wa alliance

great thinker
sio hizo sayari tu, bali universe yote yenye galaxies maelfu achana na haka kakwetu kadogo milkway. na upana wa kipenyo ambacho ni billions of lightyears.
vyote ni kazi zake.

he is infinite. Hakuumbwa yupo,alikuwepo na atakuwepo.
haitaji kuumbwa maana hata wazo la uumbaji wa vyote lilitoka kwake muumbaji.
na sio kweli kwamba ukiumbwa sharti uumbwe...
 
Nilisema hata akina Socrates, Plato, Aristotle walijitahidi lakini jibu halikupatikana (great thinkers at that time) mpaka leo jibu
litapatikana? Mtoa hoja jaribu kuangalia Empiricism na Rationalism. Mawazo tofauti mwisho dunia imetoka wapi hakuna jibu labda Big Bang theory. Kwani nayo imetoka wapi? Swali juu ya swali. Basi tujifunze kinachoonekana kwani vipo vingi visivyoonekana viache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom