Chanzo cha dunia tunayoishi imetoka wapi?

Chanzo cha dunia tunayoishi imetoka wapi?

Mkuu mbona tena hoja imebadilika badala ya kutaka kujua chanzo cha ulimwengu sasa unahoji chanzo cha Mungu.
Mada haijabadilika mkuu nimejaribu kuqout comment ya mchangiaji hapo juu.Baadhi ya watu wanaodai god creat univers.Mungu aliumba dunia ndo maana nikahoji Yeye mwenyewe alikuwa wapi during creation

great thinker
 
I think ungemtafuta kwanza alieumba dunia ndiyo utajua chanzo chake unless otherwise hakuna jibu utakalo pata kwa sababu sote tumekuta ipo na tunaishi katika hiyo dunia. Alieitengeneza ndiyo anajua source yake.

Sent from myself
 
Mada haijabadilika mkuu nimejaribu kuqout comment ya mchangiaji hapo juu.Baadhi ya watu wanaodai god creat univers.Mungu aliumba dunia ndo maana nikahoji Yeye mwenyewe alikuwa wapi during creation

great thinker
Sasa akianza kujibu mtakuwa mnajadili Mungu na si chanzo cha ulimwengu tena.
 
Back
Top Bottom