Chanzo cha funza ni nini?

Chanzo cha funza ni nini?

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,442
Habari zenu wanajamii,

Nakumbuka miaka ya nyumanyuma nkiwa mdogo nimewahi kutolewa funza mara kadhaa miguuni na nikawa nikigombeshwa sana kuhusu kuchezea mavumbi, mazingira machafu na majalalani eti ndipo wanapopatikana wadudu hao

Sasa hivi kila nikiwauliza Wazee sababu halisi ya funza wananambia ni Uchafu tena wananambia eti kuwa ile ya miaka ya tisini ilikuwa kama mwishilizio tu wa funza. Wanasema miaka ya nyuma kulikuwa na funza sana haswa maeneo ya Tanga na Manyara (kwingine sijui mana sijaulizia)

Watu wameliwa na funza sana enzi hizo (kwa ninavyohadithiwa na Wazazi) mpaka hawakuweza kuvaa viatu kabisa na wengine walishindwa hata kutembea kabisa.

Halafu tiba yao ilikuwa ni kutumbuliwa miguu na kuwekwa chumvi tu. Kwa wale ambao waliliwa sana na funza kupita kawaida wamekuwa rahisi kutambulika hata kwa sasa kutokana na namna ya kutembea kwao

Sasa mimi kila nikitafakari kuwa sababu ilikuwa ni uchafu naona inapingana na uelewa wangu kwani kama ni uchafu mbona kuna watu wachafu sana hata sasahivi lakini imezidi sana sana utamkuta na chawa tu, kama ni majalalani kuna ambao wanaishi huko kabisa lakini hawana funza!
Pia kama ni jiografia ya eneo (kwamba mavumbi au aina fulani ya udongo) mbona sasahivi hakuna funza? Au jiografia imebadilika?

Naomba kwa mwenye uelewa (kitaalamu) juu ya tatizo hilo la funza kushambulia watu sana enzi hizo atufafanulie hapa

Ahsante.
 
Hata tukuyu huko mbeya,mambo haya yalikuwepo sana, pengine ipeleke jukwaa la doctors wanaelewa
 
Mkuu funza wapo na mimi ni muhanga wa hiyo kitu kwa mwaka huu.

Mwezi August nilikua huko maeneo ya Mlimba mkoani Morogoro kijiji cha Ngalimila, basi nikawasikia wenyeji wakasema muda wa maua ya maembe huu na funza wataanza muda si mrefu. Haikupita wiki nikahisi muwasho katikati ya vidole vyangu vya miguu, kuomba msaada kwa wenyeji kujua shida ni nini wakasema ni funza ikabidi nikubali kukaa chini wamtoe.

Aisee nilitoka nduki nyingi sana
 
Hahaha, umenchekesha kusema ulitoka nduki; pole sana Mkubwa. Me nkadhani ilibaki stori tu kumbe bado wapo hawa wadudu
 
Hata tukuyu huko mbeya,mambo haya yalikuwepo sana, pengine ipeleke jukwaa la doctors wanaelewa
Kumbe mpaka Mbeya! Me nkadhani ni ukanda wetu wa Mashariki tu
 
Habari zenu wanajamii,

Nakumbuka miaka ya nyumanyuma nkiwa mdogo nimewahi kutolewa funza mara kadhaa miguuni na nikawa nikigombeshwa sana kuhusu kuchezea mavumbi, mazingira machafu na majalalani eti ndipo wanapopatikana wadudu hao

Sasa hivi kila nikiwauliza Wazee sababu halisi ya funza wananambia ni Uchafu tena wananambia eti kuwa ile ya miaka ya tisini ilikuwa kama mwishilizio tu wa funza. Wanasema miaka ya nyuma kulikuwa na funza sana haswa maeneo ya Tanga na Manyara (kwingine sijui mana sijaulizia)

Watu wameliwa na funza sana enzi hizo (kwa ninavyohadithiwa na Wazazi) mpaka hawakuweza kuvaa viatu kabisa na wengine walishindwa hata kutembea kabisa.

Halafu tiba yao ilikuwa ni kutumbuliwa miguu na kuwekwa chumvi tu. Kwa wale ambao waliliwa sana na funza kupita kawaida wamekuwa rahisi kutambulika hata kwa sasa kutokana na namna ya kutembea kwao

Sasa mimi kila nikitafakari kuwa sababu ilikuwa ni uchafu naona inapingana na uelewa wangu kwani kama ni uchafu mbona kuna watu wachafu sana hata sasahivi lakini imezidi sana sana utamkuta na chawa tu, kama ni majalalani kuna ambao wanaishi huko kabisa lakini hawana funza!
Pia kama ni jiografia ya eneo (kwamba mavumbi au aina fulani ya udongo) mbona sasahivi hakuna funza? Au jiografia imebadilika?

Naomba kwa mwenye uelewa (kitaalamu) juu ya tatizo hilo la funza kushambulia watu sana enzi hizo atufafanulie hapa

Ahsante.
e50ac8d20a11cd828ac12cf4c7963fa5.jpg
sijui ni nini hasa sisi wa daslam tabu tupu.
 
Uchafu

Jr[emoji769]

Huyo Funza kwa miaka ya kuanzia 2000 kuja chini alikuwa ni tatizo kubwa sana kwa sisi tulioishi visiwani Zanzibar.

Lakini bila ya Research yoyote tukagundua kuwa Funza huyu anasababishwa na Viroboto.

Hapo tukachukuwa jitihada za makusudi kuangamiza Viroboto na hatimae hako kaugonjwa akapotea moja kwa moja.
 
Ambapo tunarudi kule kule kwenye uchafu
Huyo Funza kwa miaka ya kuanzia 2000 kuja chini alikuwa ni tatizo kubwa sana kwa sisi tulioishi visiwani Zanzibar.

Lakini bila ya Research yoyote tukagundua kuwa Funza huyu anasababishwa na Viroboto.

Hapo tukachukuwa jitihada za makusudi kuangamiza Viroboto na hatimae hako kaugonjwa akapotea moja kwa moja.

Jr[emoji769]
 
Bhna mimi leo yamenikuta kamguu kalikuwa kanawasha hadi raha.
Naenda kwa msheku kumuuliza shida nini? Ndo ananiambia funza aise nimetoa funza mkubwa balaa
 
Back
Top Bottom