na hili suala la kuitana baba fulani na mama fulani mnalichukuliaje nyinyi?!
mimi hicho kitu never .................namwita kwa jina lake ( or pet name ) na yeye aniite vivyo.
Masuala ya baba fulani hapana kwa kweli
imekaaje hiyo ya kumuita baba? lollllllllkuna wakati mama alikuwepo home, alipockia nimemwita mtoto wake kwa jina lake alini mind sana, eti kwanini ucmwite hata baba au baba nanilii..khaa eti "baba"...hapo alinimaliza kabisa na aliendelea kuckia nikimwita kwa jina mpaka alivyojiondokea.
kwanini G?
I dont mind i think it shows some respect!!! mie nadhani ntafurahi kuutwa mama fulani!!!
imekaaje hiyo ya kumuita baba? lollllllll
mie nadhani ni sexy kumuita baba nanii..... !!! :A S-heart-2:yeah hapo naunga mkono hoja...ni kweli kabisa kuitana majina halisi ni poa sana.......:A S-heart-2:
mie nadhani ni sexy kumuita baba nanii..... !!! :A S-heart-2:
..... mie hii project bado iko pending bana!!! yani it freaks the hell out of me....i still wanna 😛lane: and see the world first!!kumbe bado eeh:censored:
noname .............baba naniii stinks of old age!
haha Sasa G unaogopa ku feel old au nini sasa!!! ila labda it doesnt sound good...Baba Marya or mama Marya... but in my culture it shows some respect..actually ppl are proud to be called by their children names.... so he will be called like Abu Marya and she will be called Umm Marya... is it sound differently or the same? lollllllllllllllllllnoname .............baba naniii stinks of old age!
just bcoz anamckia mwanae ananiita "mumy" bac anataka na mie niite baba...khaa vitu vingine hata unasindwa kumjibu mtu esp mtu kama yeye (mama mkwe)
no name hata uipambe kwa kiarabu na kiitaliano ..............it doesnt sit right! lol
kaa mtu wa zamani bwana!?!lol
mama wakwe na mawifi daima wanakuwa na competition sijui kwanini lakini!!! yani u r never good for their son or their brother.... hapo sasa!!!!
Kuna tabia ya wanawake kununa au kutoongea na kumnyima unyumba mwenza wake kwa kipindi fulani pindi kunapotokea kugombana au kutoelewana
je ni kutafuta suluhisho au kuchochea kutoelewana zaidi?
take it this way...umemuudhi na kumkasirisha kwa hiyo hapendi kushare anything with u tena mwili wake ndio kabisa.... badala ya kumuomba unyumba (or whatever u call it) itabidi muongee na umuridhishe kwanza...sio ujifanye hujui au hujali mwenzako anahisi nini...
.............i have a name call me by that or a nick name you made for me.
noname .............baba naniii stinks of old age!
Inaweza kuwa unaitwa darling lakini siku ukiharibu jina linachenji ghafla. Atakugombezaje huku anakuita mpenzi, na amenuna?hahaaa very true
ila kiukweli ina-sound kizamni, me I love calling my SM baba nanihii pale napotaka ku-sound wa kizamani au mkubwaaaaaaaa lol!!
unajua hicho kitu ni kweli ila sasa kwa nn wanawake hamtaki kusema kama mkikasirika mnaweka vitu moyoni na kununa mie kama kuna tatizo nataka lijadiliwe pale pale yaishe mambo ya kugombana asubuhi unakuja kupewa adhabu usiku ndio chanzo cha mtu kushinda baa na kukumbana na vishawishi vingine huko na kukuza kutoelewana na mkeohivi wew umemkera mkeo na ukajua hasa kuwa kakasirika .................hata dakika tano nyingi unataka unyumba! serously unategemea afurahie hilo tendo?
kina baba mnawapa wanawake muda mgumu ..........akiwakatalia mtasema kanuna akiwakubalia itakuwa sawa na kuwa raped tu since akili yake bado iko kwenye hamaki na mwili wake upo off