Chanzo cha kukosa nguvu za kiume

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
....Wale wanaofahamu chanzo cha haya matatizo ni nini... naomba sana utulivu katika kusaidia wengine....
 
Vinavyo changia nguvu za kiume kupungua ni kama yafuatayo:
1. Mfumo wa maisha wa sasa unachangia kwa kiasi kikubwa
(a) wadada kuvaa nusu uchi hii ni moja wapo, kwani wao kufanya hivi ina afect mwanaume kwa kujikuta kazoea kuona maungo ya mwana mke na hata atapo kuna na mwana mke kuna hakuna jipya na muhemko kuna kua hakuna, nakumbuka zamani hata ukiona chupi tu, mtu una dinda
(b) Ugumu wa maisha una pelekea msongo wa mawazo
(c) Kufanya ngono kupita kiasi
(d) Aina vya kula tulavyo inatupelekea kupata magonjwa ya moyo na kisukali ambayo yanachangia nguvu za kiume kupungu
2.
 
Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiumeZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1.ubugiaji wa tumbaku .

2.uvutaji wa sigara.

3.utafunaji wa mirungi.

4.unywaji wa pombe.

5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6.ugonjwa wa kisukari.

7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)

8.kuwa na mawazo kupita kiasi na Stress.

9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.

Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html
 
Zikiachwa tabia za kusababisha misuli kukosa nguvu haya pia huchangia katika mwanaume kukosa nguvu za kiume. Matatizo ya kisukari, ugonjwa sugu kama wa ini au kushindwa kufanya kazi kwa figo, matatizo ya hormones, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi makubwa ya pombe, uvutaji, matumizi makubwa ya dawa za hospitalini, msongo wa mawazo n.k
 
Haipiti siku bila kusikia tatizo la nguvu za kiume likitajwa.,wauzaji wa tiba za asili na waganga ndo imekuwa kauli mbiu yao.
Mi nadhani mola ameamua kuleta tiba ya HIV kwa njia hii, mpaka kufika 2060 asilimia kubwa ya wanaume watakuwa hawana nguvu za kiume,hivyo hawataweza kuwa na wanawake wengi na uzinzi utapungua kama sio kuisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…