Zikiachwa tabia za kusababisha misuli kukosa nguvu haya pia huchangia katika mwanaume kukosa nguvu za kiume. Matatizo ya kisukari, ugonjwa sugu kama wa ini au kushindwa kufanya kazi kwa figo, matatizo ya hormones, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi makubwa ya pombe, uvutaji, matumizi makubwa ya dawa za hospitalini, msongo wa mawazo n.k