Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Mar 13, 2023 Thread starter #21 ndoige said: barikiwa Click to expand... Asante mkuu.
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Mar 13, 2023 Thread starter #22 julaibibi said: Mwalimu naomba kuuliza.hayo ni majina umesema ya mungu kwa lugha ya kiajemi. Yana tofaut na haya ya kiarabu? Click to expand... Yes, mfano hilo la kwanza ni Al qudus kiarabu ambayo ni mtakatifu kiswahili
julaibibi said: Mwalimu naomba kuuliza.hayo ni majina umesema ya mungu kwa lugha ya kiajemi. Yana tofaut na haya ya kiarabu? Click to expand... Yes, mfano hilo la kwanza ni Al qudus kiarabu ambayo ni mtakatifu kiswahili
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Mar 13, 2023 Thread starter #23 The Knowledge Seeker said: Elimu ya Siri kwa watu wenye hekima Click to expand... MashaAllah umeanza kuelimika. Umeacha kashfa siku hizi.? Rakims
The Knowledge Seeker said: Elimu ya Siri kwa watu wenye hekima Click to expand... MashaAllah umeanza kuelimika. Umeacha kashfa siku hizi.? Rakims
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Mar 14, 2023 #24 Rakims said: MashaAllah umeanza kuelimika. Umeacha kashfa siku hizi.? Rakims Click to expand... Mkuu nadhani labda utakuwa umekosea kufananisha ID yangu, sikuwahi na sintakaa kuwahi kuleta kasha yeyote katika elimu hii ya watu wenye hekima
Rakims said: MashaAllah umeanza kuelimika. Umeacha kashfa siku hizi.? Rakims Click to expand... Mkuu nadhani labda utakuwa umekosea kufananisha ID yangu, sikuwahi na sintakaa kuwahi kuleta kasha yeyote katika elimu hii ya watu wenye hekima
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Mar 15, 2023 Thread starter #25 The Knowledge Seeker said: Mkuu nadhani labda utakuwa umekosea kufananisha ID yangu, sikuwahi na sintakaa kuwahi kuleta kasha yeyote katika elimu hii ya watu wenye hekima Click to expand... Sawa nahisi username zinafanana
The Knowledge Seeker said: Mkuu nadhani labda utakuwa umekosea kufananisha ID yangu, sikuwahi na sintakaa kuwahi kuleta kasha yeyote katika elimu hii ya watu wenye hekima Click to expand... Sawa nahisi username zinafanana
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,083 Reaction score 5,179 Nov 14, 2023 #26 Nikitaja kwa kiarabu kuna ubaya kwa kuwa tyr nina msingi kusoma kiarabu mfano:-Al Qudus Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Nikitaja kwa kiarabu kuna ubaya kwa kuwa tyr nina msingi kusoma kiarabu mfano:-Al Qudus Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Nov 14, 2023 #27 Rakims ..wenye ubora wake jamaa ulipotea sanaa
COMORIENNE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 923 Reaction score 1,054 Nov 15, 2023 #28 Japo kwa kuchelewa lakini nimenufaika sana. Hakika ni elimu kwa wenye hekima
MwanaWA Ebrania JF-Expert Member Joined Oct 6, 2017 Posts 939 Reaction score 1,147 Nov 15, 2023 #29 Asantee Ila elfu kumi kila wiki kwa maisha haya ya vijana sisi wapambanaji tunaojitafuta sio rafiki. Tuunge kwanza tupate elimu kisha tulipie baada ya kupata matokeo
Asantee Ila elfu kumi kila wiki kwa maisha haya ya vijana sisi wapambanaji tunaojitafuta sio rafiki. Tuunge kwanza tupate elimu kisha tulipie baada ya kupata matokeo
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 3,074 Reaction score 6,472 Nov 16, 2023 #30 We bwana upo kibiasharaaaa, umesema ukitaja unafungua baraka kwani we hujafungua?