Chanzo cha matatizo ya Kodi ni 'Bunge' lakini watu wengi hawaoni

Kodi..
Tozo..
Kodi..zinarudia
Tozo..zinarudia
Kodi tena..
Tozo tena..
Kama hatuna timu ya wataalam si tuagize nchi nyingine. Walishauri bunge.
 
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.

Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.

Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi

Nani amekuambia bunge linatunga sheria? Kwa katiba hii bunge ni rubber stamp tu . Tena bunge lenyewe hili ambalo zaidi ya nusu ya wabunge wanaopatikana kwa wizi wa kura?!
 
Shida sio tuu Bunge Bali muundo na majukumu sio tuu ya TRA Bali taasisi zingine..

Tuna Sheria na taasisi za udhibiti zaidi kuliko uwezeshaji na namna wanavyofanya hizo controls zao ni too aggressive,so shida ilianza kwenye muundo huko nyuma..
 
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.

Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.

Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Tatizo ni CCM. Trust me. Bila CCM kuondoka hakuna mabadiliko.
 
Haya ndiyo madhara ya wabunge kupitisha sheria kwa hati ya dharura na kupitisha haraka haraka pasipo kuichambua kwa kina.Bunge la chama kimoja ndiyo madhara yake yanayojitokeza kariakoo.
 
Nani amekuambia bunge linatunga sheria? Kwa katiba hii bunge ni rubber stamp tu . Tena bunge lenyewe hili ambalo zaidi ya nusu ya wabunge wanaopatikana kwa wizi wa kura?!
Naunga mkono hoja
 
Aisee...
 
Bunge linapitisha sheria isiyo na kanuni na Rais anaisaini ikiwa skeleton hivyo hivyo.

Halafu kuna wahuni huko wizarani ndiyo wanaandaa hizo kananu za sheria husika.

Mara zote hizo kanuni ndiyo mwiba.
 
Chanzo ni Waziri wa Fedha sio Bunge...anapitisha kodi bila kushirikisha wahusika kwa kujitangaza Mchumi daraja la Kwanza...
 
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.

Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.

Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Tatizo la Tanzania watu wanapenda kudeal na matawi au maua ya matatizo.
Wanauacha mzizi!
 
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.

Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.

Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Kazi ya bunge ni kutunga sheria, ila sheria huenda bungeni kama mswada ukiwa umeandikwa kwaajili ya kujadiliwa sio kupingwa.
 
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.

Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.

Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Wamegomea kikosikazi na kodi ya stood na rising za kufutika na seizure ya bidhaa. Hizo halikutinga Bunge. Rais alisema kodi za nyuma ziachwe wakasema let barua, si Bunge.
 
Back
Top Bottom