Chanzo cha mtoto kuzaliwa na upofu ni nini?

mwanausangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
548
Reaction score
608
Wakuu habari za mchana!

Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili.

"Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna vitu fulani alivikosa wakati akiwa tumboni? Au mama alitumia vitu/dawa/vyakula/vinywaji ambavyo havitakiwi au ni suala la kurithi?

Asanteni.
 
Jombaa unaingilia mpaka anga za Mungu Sasa.
 
Hapo lazima kuangazia ishu za prenatal .. perinatal na postnatal

Genetic disorders

Maswala ya kurithi..

Diet/mlo Jamii ...

Wakati hiyo mimba inatungwa wazazi walokuwa kwenye Hali Gani ... Nk..


I stand to be corrected
 
Au kama kipindi alichokua ana ujauzito alifosi kuitoa(dawa za kutoa mimba) then zikagoma kutoa...iyo ni madhara moja wapo
 
Gonorrhoea kutoka kwa Mzazi ,mtoto akizaliwa anatakiwa achomwe tetracycline kwa ajili yakuepusha Na hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…