Una uhakika mkuu? Hebu tupe ushahidi kamili.Wakuu, Radi haichagui mahali ikiamua kupiga mahali inapiga tu tena ukute siku hyo inahasira hata uwe wapi itakufuata tu...kiboko ya radi ni Kondoo tu..Mengine ni kuchukua tahadhari na Maombi kwa Mola wako.
Hiyo haikuwa radi ya asili mkuu. Radi nyingine ni za kutengeneza.Ra
Radi haina hayo mkuu,
ikija inakuja tu katika usawa wake iliyojichagulia...
Nilishuhudia 2010 kwa macho yangu! mtu amepigwa na Radi katikati ya uwanja wa mpira! Akaungua na kufa papo kwa hapo!. Mkwajuni Chunya.
Hayo yalikuwa matukio ya nadra sana mkuu. Siku hz kila mvua ikinyesha Dar lazima iambatane na radi.Radi dar ipo sana tu imewahi kupiga mara nyingi sana, miaka 30 iliyopita ilipiga mnazi nje ya dirisha nililokuwa nimekaa ndani na ule mnazi uliwaka hadi ukaisha.
Mvua ziliendelea kunyesha lakini ule moto haukuzima kwa making ya mvua.
radi hata ukiwa ndani inakufuata..mimi bibi yangu iliwahi kumfuata ndani ikamtupia nje..kipindi nipo F3 classmate wangu iliwahi kumrusha toka kibazani mpaka uwani,, na ilipiga ya maana mimi niliyekuwa ndani nilitoka nje kwa wenge namkuta jamaa kalala uwani..Kuna siku tulikuwa tunachunga mifugo mvua ya radi ikaanza tukaona kondoo anapanda kichuguu kwakuwa tulikuwa tumeshaambiwa na wazazi wetu tukiona hvo tukakae mbali ,aiseee ! tulikuwa tunaona kondoo anavopigiza kichwa chake mpaka cheche zinaluka..bahati mbaya siku hyo tulipoteza ng'ombe wawili kwa kupigwa na radi..kwahyo mkuu Nadhani umepata picha kidogo.Una uhakika mkuu? Hebu tupe ushahidi kamili.
1. Radi inapiga the highest point katika eneo husika not necessarily metal.Hebu tupe utaalamu wako na wewe mkuu
Hiyo radi ya kumfuata mtu ndani sio radi ya asili bali ni radi ya kimazingira mkuu.radi hata ukiwa ndani inakufuata..mimi bibi yangu iliwahi kumfuata ndani ikamtupia nje..kipindi nipo F3 classmate wangu iliwahi kumrusha toka kibazani mpaka uwani,, na ilipiga ya maana mimi niliyekuwa ndani nilitoka nje kwa wenge namkuta jamaa kalala uwani..Kuna siku tulikuwa tunachunga mifugo mvua ya radi ikaanza tukaona kondoo anapanda kichuguu kwakuwa tulikuwa tumeshaambiwa na wazazi wetu tukiona hvo tukakae mbali ,aiseee ! tulikuwa tunaona kondoo anavopigiza kichwa chake mpaka cheche zinaluka..bahati mbaya siku hyo tulipoteza ng'ombe wawili kwa kupigwa na radi..kwahyo mkuu Nadhani umepata picha kidogo.
Tena zinapiga hadi sehemu ya wazi kabisa, uwanjani.Kuna zile radi kanda ya ziwa na Kigoma huko zinawafuata watu ndani (chumbani kabisa) na kuwarusha nje ya nyumba!
Hizo unazizungumziaje mtaalam?
Wale wanafunzi wa Businda Secondary, kule Geita walipigwa na radi wakiwa darasani ndani kabisa.Hiyo radi ya kumfuata mtu ndani sio radi ya asili bali ni radi ya kimazingira mkuu.
Kabisa mkuu.Wakuu, Radi haichagui mahali ikiamua kupiga mahali inapiga tu tena ukute siku hyo inahasira hata uwe wapi itakufuata tu...kiboko ya radi ni Kondoo tu..Mengine ni kuchukua tahadhari na Maombi kwa Mola wako.
kweli.Kabisa mkuu.
Radi inaweza kupiga popote inapo jisikia yenyewe.
Mimi radi za kanda ya ziwa, nime zi experience kabisa wakati nasoma Bukoba.
Kuna moja ilipiga uwanjani kabisa ikachimba kitu kama mtaro hivi.
Nyingine ilimpiga mwanafunzi alikuwa na mwamvuli wake nje. Ilipiga ile ncha ya mwamvuli ikashuka hadi mwilini kwa yule mwanafunzi. Alikufa palepale.
Kuna radi nyingine, tulikuwa darasani ndani kabisa, ilipiga na kuwaka mwanga mkali yani kiti nilichokuwa nimekalia kilikuwa na chuma, ile chuma ikapokea ule umeme, nilisikia kabisa shoti mwilini.
Nyingine zinapiga kwenye miti.
Radi haina formula.
Hizo ni radi za kutengenezwa mkuu. Si unawajua watu wa kanda ya ziwa walivyo mafundi?Wale wanafunzi wa Businda Secondary, kule Geita walipigwa na radi wakiwa darasani ndani kabisa.
Radi za kanda ya ziwa, zina ingia hadi ndani kabisa.
Kwa mujibu wa maelezo yako huoni kuwa radi zinalenga high points mkuu?Kabisa mkuu.
Radi inaweza kupiga popote inapo jisikia yenyewe.
Mimi radi za kanda ya ziwa, nime zi experience kabisa wakati nasoma Bukoba.
Kuna moja ilipiga uwanjani kabisa ikachimba kitu kama mtaro hivi.
Nyingine ilimpiga mwanafunzi alikuwa na mwamvuli wake nje. Ilipiga ile ncha ya mwamvuli ikashuka hadi mwilini kwa yule mwanafunzi. Alikufa palepale.
Kuna radi nyingine, tulikuwa darasani ndani kabisa, ilipiga na kuwaka mwanga mkali yani kiti nilichokuwa nimekalia kilikuwa na chuma, ile chuma ikapokea ule umeme, nilisikia kabisa shoti mwilini.
Nyingine zinapiga kwenye miti.
Radi haina formula.
Hapana si za kutengenezwa, nimezishududia mwenyewe.Hizo ni radi za kutengenezwa mkuu. Si unawajua watu wa kanda ya ziwa walivyo mafundi?
Radi inapiga popote mkuu.Kwa mujibu wa maelezo yako huoni kuwa radi zinalenga high points mkuu?