Chanzo cha neno ''news''

Chanzo cha neno ''news''

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
283
prof. mmoja wa uingereza alikuwa akimfundisha mwanae somo la geography sasa ilipofika wakati anamwelekeza pande kuu nne za dunia mwanae alikuwa kilaza anashindwa kukumbuka, kwa hiyo akaanza kumkaririsha kwa nguvu na kumwambia aandike kwa kifupi neno litalomkumbusha, ndio akaandika neno NEWS

N----NORTH
E-----EAST
W----WEST
S-----SOUTH

Je kwanini linaendelea kutumika duniani ? nasi tumeshindwa kukumbuka pande za dunia?
 
Naona hii thread ingefaa kwa forum za UTANI !! kwa maneno mengine, haijakamilika. Huyo profesa hana jina? etc
 
lengo ni kuonyesha chanzo cha neno news, na kulichambua kwa undani kadri changamoto zinapopatikana
 
Asante kwa kutujuza bingwa, mi ndo umenifungua macho!
Sasa kama ilikuwa ni ufupisho wa pande kuu 4 za dunia, ikawaje likaletwa kwente HABARI(NEWS)? si lingebaki hukohuko kwenye jogolafia?
 
Back
Top Bottom