Frank P B Mapanga
Member
- Jun 20, 2014
- 13
- 2
Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa
Tubadilike jamanii
Tubadilike jamanii