Chanzo cha rushwa

Chanzo cha rushwa

Joined
Jun 20, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa

Tubadilike jamanii
 
Chanzo cha rushwa ni mshahara na stahiki za wafanyakazi kutolipwa zote au kwa wakati hivyo tynalaximika kuiba
 
Back
Top Bottom