Chanzo cha Sallam SK kujitoa WCB

Chanzo cha Sallam SK kujitoa WCB

Mi sifahamu kama wanatoka na sina ushahidi lakini kama wanatoka Zuchu ni mwanamke mwenye muonekano wa kawaida nahisi ndio maana wengi wanaji '?'
Lakini mapenzi ni zaidi ya mionekano, kuna vya ndani hatuvijui vingi...
jamaa huenda kaamua kutulia zake tu, maana hakuna jipya kwa matobo aliyochungulia sidhani kama yote yamezidiwa utundu na zuchu.. ila kuna mda mtu unaamua zako tu kutulia
 
Mi sifahamu kama wanatoka na sina ushahidi lakini kama wanatoka Zuchu ni mwanamke mwenye muonekano wa kawaida nahisi ndio maana wengi wanaji '?'
Lakini mapenzi ni zaidi ya mionekano, kuna vya ndani hatuvijui vingi...
Ukute kadada kanajua kufinyia ndani kama Hamida wa kipindi kile
 
Ndio utakapo jua diamond akili mingi tulisema hapa Konde gang ni ofisi yake pia.
Ona gia y meneja kwenda kuongoza wasafi B eti wamegombana kisa anamchagulia mpnz.
Wcb wasafi n Konde gang zote zake diamond.
 
mama adija kama anaolewa na wanaume wengi na kuzaa nao alisikika ajamzaa zuchu kunya bali kazaa .hiyo ndio magomeni uchawi manii baharini kigoma katulia ndio maana kigoma ijawahi kubaki salama kanda ya pwani
Nyumba zote za kariakoo zilitokana na wanawake wa pwani kuwachuna wanaume wa bara waliokuwa makuli bandarini na wapagazi yaani wabeba kariakoo na nk.Miaka ya kuanzia 60,ilikuwa ukinaswa kwenye kiuno cha pwani kilichokula unyago ( kufundishwa ngono) na umetoka bara uchomoki.
 
Ndio utakapo jua diamond akili mingi tulisema hapa Konde gang ni ofisi yake pia.
Ona gia y meneja kwenda kuongoza wasafi B eti wamegombana kisa anamchagulia mpnz.
Wcb wasafi n Konde gang zote zake diamond.
Simba na yanga zote za MO
 
Unamaanisha Akili kubwa kamuona mkuu wake wa kazi Ngoswe! Mambo ya penzi kitovu Cha uzembe!
 
Mshikaji kama anakula hiyo manzie nitamdharau sana, manzie iko ka Polygon😂😂😂. Over
 
Back
Top Bottom