Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii.
Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi.
Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha familia jamii ilifanya mkutano na ilikuwa ikibainika mwanaume hawajibiki katika familia alikumbushwa kwa kulambwa bakola hadharani.
Yote hayo ilikuwa kupeleka meseji kwa watu ili wazingatie misingi.
TABIA ZETU WENYEWE wanaume za kutafta sifa kwa wanawake zimewainua wanawake!
Adam Alifukuzwa Edeni kwa kumsikiliza mwanamke!
Na sisi leo tunarudia kosa lile lile alilofanya Adam! Tutakuja zinduka badae sana tukishapigwa parefu

- WANAWAKE Walioachika tumewatukuza katika jamii kwa majina makuu ya WANAWAKE WA SHOKA (MALKIA WA NGUVU) hii ilipeleka meseji kwa wake za watu kuanza kutoka majumbani?
- TUMEWATEUA KUWA viongozi ngazi za juu VIMADA WALIOACHIKA; ..Hili lilipeleka meseji katika jamij kuwa walioachika wanatukuzwa zaidi kuliko walioko ndoani
- Wanaume Tumekuwa na HURUMA kwa kila mwanamke, Yaani hatujiulizi marambilimbili kubeba mwanamke aliyeachika tena wengine ndiyo tunawadhauri waachike.
- Mawazo ya biashara kubwa tunapa wanawake wao wanakutana huko kwenye vikoba kujadili kama ajenda lakini nyuma ya mawazo yao kuna wanaume wameyatoa. (Wana copy na kupaste) tunajikuta tunaongeza maadui kutokana na mawazo yetu wenyewe.
- Hatuhoji wanawake wakitembea vikundi au wakikusanyika, Lakini vikundi vya kiume tunaitwa walevi, vibaka, wahalifu kwa kosa la kukaa wanaume kikundi lakini wanawake kukaa kikundi kwao ruksa.
- Ni sisi wenyewe Wanaume Tumeruhusu ajira ziwe nusu kwa nusu, tumesahau wajibu wa kuoa unabebwa na mwanaume! Vijana wasipokuwa na ajira hawatakuwa na sauti
- Mmewaingiza bungeni wanawake kwa mlango wa viti maalum tukaacha wa kiume...na kama ni lazima basi tungewrka viti maalum viwe kwa wanafunzi wanaofauli zaidi vyuoni au wenye vipaji vya ubunifu ili iwe kama motisha kwa watu kubuni mambo ya maendeleo n.k mfano! Aliyebuni JF alitakiwa ndo aingie bungenj kwa viti maalum, na wabunifu wowote wanaonekana katika project.
Adam Alifukuzwa Edeni kwa kumsikiliza mwanamke!
Na sisi leo tunarudia kosa lile lile alilofanya Adam! Tutakuja zinduka badae sana tukishapigwa parefu