Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

Wanaume tushafeli pakubwa sana, kibaya zaidi sisi kwa sisi hatupeani nafasi ila wanawake wana ajenda ya kutakeover nafasi ya mwanaume katika jamii kwa kumiliki uchumi sisi wanaume tuna cheka cheka na kuwaita Malikia wa nguvu.
Influencer mwenye wafuasi buku akiongea ujinga basi unasambaa na kukubalika na kuungwa mkono na mamia ya wanawake ambao nao wanaambukiza watoto wao wa kiume, sasa wanaume 5 wenye akili wakitaka kurekebisha hilo kosa, ni mlima kabisa kubadili maana.

Watu kama kina Chris Mauki wamechangia sana kudidimiza juhudi za kurejesha misingi ya familia.
 
Umeongea pointi sana
 
Kifupi huo ni mkakati na wanaume wakajitoa kwa hali na mali hata kwa jasho na damu kuhakikisha mkakati huo unatekelezwa na kusimama bila kujua wanajiua bila manufaa yoyote na sio wanaume wasasa pekee wanaua mpaka vizazi vya watoto wao waliopo na wanaokuja. Hasara kubwa na bahati mbaya sana.
 
Imekuwa ni kiama kama CCM walivyoleta kunguru weusi kama project mbovu ambapi wamezaliana na sasa wanakula vifaranga na kupora mboga badala ya kusaidia uchafu
 
Umepiga jiwe gizani, Tena umerusha FATUMA,
Hii ni nondo Kali sana Kwa Leo.
 
Umepiga jiwe gizani, Tena umerusha FATUMA,
Hii ni nondo Kali sana Kwa Leo.
Jamii inaenda kupotea ndoa inakwrnda kuwa changamoto watu watakuwa hawaoani ni mwendo wa kuzaa na kusepa
 
Watu na media siku hizi zinaropoka hovyo
 
Nimekuelewa sana mtoa mada nazani tuunde umoja wa wanaume bado hatujachelewa ingawa masnichi watatuuza tena kisa uchi
 
Wanaume tushafeli pakubwa sana, kibaya zaidi sisi kwa sisi hatupeani nafasi ila wanawake wana ajenda ya kutakeover nafasi ya mwanaume katika jamii kwa kumiliki uchumi sisi wanaume tuna cheka cheka na kuwaita Malikia wa nguvu.
Ni upuuzi sana huwa namind sana
 
Hii ni point nzito sana mzee.
 
Hichi kikao chenu sikielewi Sasa kama hamuelewi wanawake basi kaen mbal na mwanamke ( single) Hilo ndilo solution ya Kila lalamiko lenu
Wanawake ndio wanaoingia kwenye maisha ya wanaume. Na wakiingia wanataka kutakeover.
 
Nimekuelewa sana mtoa mada nazani tuunde umoja wa wanaume bado hatujachelewa ingawa masnichi watatuuza tena kisa uchi
Masnitch a.k.a Masimp ndio takataka zinazoturudisha nyuma.

Unakuta fala limekaa kiti cha mbele siku ya wanawake linashika mic 🎤 linasherehesha "Wanawake hoyeeeeeee".
 
Kabisa mzee sio uongo wanabeba ajenda za kike kike halafu wanajiita wanaume kumbe wanarudisha nyuma jihadi na kubaka injili.
 
Watu na media siku hizi zinaropoka hovyo
Kuna siku nilikuwa natazama kipindi pale Star TV. Wadada ndio walikuwa mahost. Asiee pumba walizokuwa wanamwaga sio za taifa hili.

Yaani mademu ni kama wana utindio wa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…