cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwa kweli.Bangi na show off zinachangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli.Bangi na show off zinachangia.
Suarez alimtukana nani uwanjani?Huu sio ushamba wa kiafrika ni hulka ya mchezaji mwenyewe Suarez sio muafrika lakini ni sampuli moja na akina Vini.
Hapa, waafrika mnatusingizia, vini ana matatizo binafsi kwenye akili yake.Vini Jr. anasumbuliwa na ushamba wa Kiafrika.
Kwani Vini alitukana ? Halafu huyo Suarez si alikuwa anang'ata hadi masikio ya watu.Suarez alimtukana nani uwanjani?
Bila shaka wewe utakuwa wa kike maana mwanaume rijali hawezi andika hiviHawezi kushinda hata mara moja. Kwanza ana muonekano mbaya. Hiyo tunzo huwa wana angalia pia muonekano wa mtu.