cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Feb 6, 2025 #21 Dede 01 said: Bangi na show off zinachangia. Click to expand... Kwa kweli.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 6, 2025 #22 Dede 01 said: Huu sio ushamba wa kiafrika ni hulka ya mchezaji mwenyewe Suarez sio muafrika lakini ni sampuli moja na akina Vini. Click to expand... Suarez alimtukana nani uwanjani?
Dede 01 said: Huu sio ushamba wa kiafrika ni hulka ya mchezaji mwenyewe Suarez sio muafrika lakini ni sampuli moja na akina Vini. Click to expand... Suarez alimtukana nani uwanjani?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Feb 6, 2025 #23 Mtoto wa Shule said: Vini Jr. anasumbuliwa na ushamba wa Kiafrika. Click to expand... Hapa, waafrika mnatusingizia, vini ana matatizo binafsi kwenye akili yake.
Mtoto wa Shule said: Vini Jr. anasumbuliwa na ushamba wa Kiafrika. Click to expand... Hapa, waafrika mnatusingizia, vini ana matatizo binafsi kwenye akili yake.
Dede 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,248 Feb 6, 2025 #24 Mtoto wa Shule said: Suarez alimtukana nani uwanjani? Click to expand... Kwani Vini alitukana ? Halafu huyo Suarez si alikuwa anang'ata hadi masikio ya watu.
Mtoto wa Shule said: Suarez alimtukana nani uwanjani? Click to expand... Kwani Vini alitukana ? Halafu huyo Suarez si alikuwa anang'ata hadi masikio ya watu.
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Feb 7, 2025 #25 GUI1 said: Hawezi kushinda hata mara moja. Kwanza ana muonekano mbaya. Hiyo tunzo huwa wana angalia pia muonekano wa mtu. Click to expand... Bila shaka wewe utakuwa wa kike maana mwanaume rijali hawezi andika hivi
GUI1 said: Hawezi kushinda hata mara moja. Kwanza ana muonekano mbaya. Hiyo tunzo huwa wana angalia pia muonekano wa mtu. Click to expand... Bila shaka wewe utakuwa wa kike maana mwanaume rijali hawezi andika hivi