Btitle
New Member
- Sep 13, 2021
- 2
- 1
Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika
Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha
waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili
1. Starehe tukiwa watoto ua tunavishwa dhana potofu katika jamii zetu uamini ya kwamba kutokana na mifumo etu kua migumu ua tunaamini ya kwamba tujitume sana shule ili tunapofika vyuo na kupata kazi ni muda wa kustarehe na kupumzika ii utuadhiri asa katika utendaji etu wa kazi kwa kukosa ubunifu na kujituma zaidi na wengine kwa kuamini ivo ujitumbukiza katika matumizi mabaya ya fedha kama ulevi wa kupindukia
2. Imani za kishirikina
Tuna amini ya kwamba kwa mtu aliejaaliwa kupata elimu atatusaidia kuelimisha jamii kuepuka mila potofu kwa Afrika ni tofauti kwani watu wasio na elimu na wale wenye elimu uamini ushirikina ivyo ushusha ufanisi katika kazi kwanu mara tu mtu apatapo changamoto uamini ushirikina ndio jawabu
3. Utayari wa kupokea ushauri wasomi wengi wa Afrika awako tayari kupokea ushauri wakiamini waliyonayo ni bora zaidi kwa mfano umeitimu elimu yako ya uchumi na umeamua kuanza fanya biashara ndogo ndogo lakini kabla ujaanza fanya kunawatu umewakuta wakifanya biashara ya aina ako kwa afrika imekua ngumu kwa wasomi kujifunza na kushauriwa wakiamini ujuzi wao unatosha zaidi.ukweli wakati mwingine knowledge ya darasani aikizi kutatua changamoto ivyo ni vema mtu akajifunya ni vipi jamii ufanya na kufanya bora zaidi ni vizuri kujifunza kwawatu waloanza fanya upendacho
4. Jamii
Ingawa kampeni nyingi zikijaribu kuwaimiza wasomi kutazama fursa zingine kujiongezea kipato jamii za kiafrika azikubali kua ni sawa watu awa kujihusisha na ujasiriamali au ukulima kwa mfano mtu unapomaliza chuo na kujaribu kuanzisha biashara ndogo ndogo jamii imekua ikepinga na kuamini ya kwamba uenda masomo yako aukufanya vizuri na pia elimu yako aina mana na wengi ua wanaogopa kuthubutu.ni kweli aipashwi kusikiliza ya watu lakin weng ua wanashindwa kushinda ii changamoto
Nachofahamu juu yangu elimu au ushindi ni kutenda wala sio kufahamu na kuzungumza tujaribu kuielimisha jamii katika dhana potofu wanazoamini na kuwapa nafasi wasomi katika kujishughulisha

Upvote
2