Eti wakuu chanzo cha kunyonyoka nywele kwenye utosi ni nini? au utakutana na mtu hana nywele kwenye utosi kwa jina lingine mtu mwenye kipara, mbona sijaona mwanamke mwenye upara? chanzo hasa ni nini embu nijuzeni wadau????
Kitaalamu tunaita alopecia inaweza ikasababishwa na hali ya kurithi zinapotea tu zinyewe naturally lakini pia ni symtom ya mtu mwenye anemia so nenda maabara ukapime HB level.(haihusiani na kufikiria)
Mkuu mimi mwanamke mwenye upara nipo,nimesumbuka sana na hiyo hali lakini baadae nikamuona bibi yangu nae yupo kama mimi.yaani nywele kwenye utosi zinaisha kdri siku zinavyoenda.