Chanzo cha upara kichwani ni nini?

Chanzo cha upara kichwani ni nini?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Habari.

Eti wakuu chanzo cha kunyonyoka nywele kwenye utosi ni nini? au utakutana na mtu hana nywele kwenye utosi kwa jina lingine mtu mwenye kipara, mbona sijaona mwanamke mwenye upara? chanzo hasa ni nini embu nijuzeni wadau????
 
hili swali hata mm nsha jiulza sana. watu huhucsha na uwezo wa kufkr, wengine hudai ni urth, lkn ngoja tusubr wadau waje
 
Siku hizi vijana wengi between 20s to 35s tuna vipara ni shiiiiddddaaaa!
 
Kitaalamu tunaita alopecia inaweza ikasababishwa na hali ya kurithi zinapotea tu zinyewe naturally lakini pia ni symtom ya mtu mwenye anemia so nenda maabara ukapime HB level.(haihusiani na kufikiria)
 
Mkuu mimi mwanamke mwenye upara nipo,nimesumbuka sana na hiyo hali lakini baadae nikamuona bibi yangu nae yupo kama mimi.yaani nywele kwenye utosi zinaisha kdri siku zinavyoenda.
 
Ni ugonjwa huo, kama ilivyo busha tu, nenda hospital
 
Back
Top Bottom