LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Yehova akawatawanya juu ya uso wote wa dunia kutoka huko, nao pole kwa pole wakaacha kulijenga lile jiji. Hiyo ndiyo sababu liliitwa jina lake Babeli, kwa sababu huko ndiko Yehova alikuwa amevuruga lugha ya dunia yote.Mwanzo 11:8, 9.
hizo ni myth tu hazuna ukweli wowote!!
Leta zko zenye ukweli
sina ila hizo ni porojo tu...eti walitaka kujenga mnara ili wamfikie aliko mungu, sasa walishakaribia kumfikia ama? Vipi urefu wa huo mnara ulifikia urefu wa majengo ya sasa kama Bhuji Khalifa?
Hapa tutadanganyana tu!
Kunamatheory kibao yanaongelea sababu ya kuwepo kwa rangi tofauti!
Kwamfano:
Materialist wanasema Watu weusi wametokana na nyani!
Wakiristo wanasema watu weusi wametokana na maangamizo!
Waislamu wanasema watu weusi wamezaliwa tu kama vile wazazi wafupi kuzaa mtoto mrefu!
According to Islamic teachings Mwanadamu aliumbwa kwa udongo! Huo udongo ulikuwa ni mchanyiko wa rangi zote walizonazo wanadamu!
Nk nk!
...
Kuhusu lugha iko simple sana!
Kusambaratika kwa watu ktk dunia na lack of communication means imepelekea watu wa jamii moja kubuni maneno ya kutumia ili warahisishe mawasiliano!
Tayari! Suruali fupi at work....
Yehova akawatawanya juu ya uso wote wa dunia kutoka huko, nao pole kwa pole wakaacha kulijenga lile jiji. Hiyo ndiyo sababu liliitwa jina lake Babeli, kwa sababu huko ndiko Yehova alikuwa amevuruga lugha ya dunia yote.Mwanzo 11:8, 9.
Wakiristo wanasema watu weusi wametokana na maangamizo!
Mkuu, kuna watu huwa wanasema vitu halafu ndio wanaanza kufikria nini wamesema including but not limited to non theistsUlidhamiria kusema hili au umeteleza tu?
CC: Mkuu wa chuo , Samaritan Ntuzu Ishmael Lisa Valentine ....!!
Pole sana kijanaIna maana Mungu hakupendezwa na watu wa Babeli waliotaka kutengeneza mnara mrefu ili kumfikia, vipi kuhusu watu wa sasa ambao wanatengeza vyombo vinavyofika hadi Mars? kwanini Mungu aingilie ujenz wa huo mnara hali ya kuwa anajua kuwa hata wajenge vipi hawawezi kumfikia? kwanza teknolojia yao ilikuwa ndogo sidhani kama huo mnara ulikuwa mrefu kule jengo la PPF tower pale posta.
Leta zko zenye ukweli