Chanzo cha Utofauti wa Lugha na Rangi za Watu

Chanzo cha Utofauti wa Lugha na Rangi za Watu

sina ila hizo ni porojo tu...eti walitaka kujenga mnara ili wamfikie aliko mungu, sasa walishakaribia kumfikia ama? Vipi urefu wa huo mnara ulifikia urefu wa majengo ya sasa kama Bhuji Khalifa?

sasa kama huna umejuaje kuwa hizo ni porojo? leta fact zako utudhibitishie hapa siyo unapayuka tu.
 
"
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari." quran 49:14
 
sina ila hizo ni porojo tu...eti walitaka kujenga mnara ili wamfikie aliko mungu, sasa walishakaribia kumfikia ama? Vipi urefu wa huo mnara ulifikia urefu wa majengo ya sasa kama Bhuji Khalifa?

uko sahihi, hizo ni porojo tu, eti mungu aogope watu watapanda mnara na kumfikia, minara ya sasa hivi haogopi watamfikia? vyombo vinavyokwenda anga za mbali vipi haogopi?!! inahitaji akili ngumu sana kumeza hizoporojo!
 
Pale kwenye mnara wa Babeli (ambao wana akiolojia wamechimbua na kuubani mnara ule ulipojengwa-Iraq ya leo) maandiko yanasema palizuka lugha 70 tofauti tofauti.

Mungu, muumba mbingu na nchi,Yeye anayeutangaza mwisho tangu mwanzo, hakuwachelea kwamba watu wale watajenga mnara umfikie, ila aliwavurugia uneni wao ili dhamira yao ya kutoenda mbali na pale ipotee,alitaka watawanyike waenee duniani kote.Hili la kutawanyika kuijaza dunia alishaliandaa toka mwanzo.Alimwambia Adamu na Hawa enendeni duniani kote mkazae muongezeke mkaijaze dunia.
 
Back
Top Bottom