Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Leo Ponografia inazidi kubadilika. Profesa Gail Dines anaandika hivi: “Leo, picha zinazidi kuwa mbaya hivi kwamba ponografia iliyoonwa kuwa chafu sana imekuwa ya kawaida.”
Wewe una maoni gani? Je, ni sawa kutazama ponografia, ni hatari, au huna msimamo wowote? Ni nini matokeo ya kutazama ponografia?
1) Ponografia hufanya mtu kua na mazoea sugu ya kuitazama, na watafiti fulani huilinganisha na kutumia kokeini kali na wengi hua ni wasiri na wadanganyifu kwa sababu huitazama kwa siri
2) Kusababisha ubinafsi, mtengano wa kihisia, na kutoridhika na mwenzi wa ndoa.Mfano imagine umeangalia yanayofanyika humo halafu mwezi wako hawez kuyafanya tayari hapo inajenga tabia ya ubinafsi,kutoridhika
3) Kuchochea mawazo na hamu ya ngono haramu
3) Kumshawishi mtazamaji amlazimishe mwenzi wake kufanya ngono kwa njia isiyo ya kawaida mfano ngono za kinyume na maumbile
4) Inaweza kuwashawishi vijana waanze kufanya ngono wakiwa na umri mdogo na pia kuwa na maadili mapotovu, kuwa wajeuri kingono, na kuvurugika kihisia na kisaikolojia.