Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

mleta mada bandiko lako limejaa "nahisi nahisi" nyingi.i can tell how inconsistent yourself are about the topic.
 

Ulimwengu ninini? Nini chanzo chake
 

Huo mwanzo unaouzungumzia umetoka wapi?
 
jibu moja baada ya jingine ukishindwa mungu yupo

Ndiyo Mungu yupo lakini tujaribu kutazama swala hili kisayansi zaidi .Maana kuna namna mbili za kutizama mambo kiroho na kisayansi.
 
Ndiyo Mungu yupo lakini tujaribu kutazama swala hili kisayansi zaidi .Maana kuna namna mbili za kutizama mambo kiroho na kisayansi.

nani aliye sababisha wewe bidamu uwe na akili ya kutaka kutazama swali "kisayansi zaidi"?
 
jibu moja baada ya jingine ukishindwa mungu yupo

Ndiyo maana hata katika biblia katika kitabu cha mwanzo kunasehemu wameandika HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI NAYO NCHI ILIKUWA KATIKA HALI YA UKIWA NA UTUPU .Je Umeona Dhana Ya Ukiwa Na Utupu Ilipotokea .Mimi nachojua .Siku zote SAYANSI YA KWELI hufananafanana na baadhi ya mafundisho ya dini juu ya chanzo cha ulimwengu.
 
God created all things out of nothing while scientists rely on things created from something!
 
Ndiyo Mungu yupo lakini tujaribu kutazama swala hili kisayansi zaidi .Maana kuna namna mbili za kutizama mambo kiroho na kisayansi.

Sikukatishi tamaa ila hili jambo ni zaidi ya uwezo wa sayansi yako. Mbaya zaidi kwenye maelezo yako ya awali umesema kwa mujibu wa utafiti wako, ni kweli huu ni utafiti wako au umesoma mahali?
 

nchi ndo ilikuwa katika hali ya utupu yani nchi ilikuwepo ,ukisema utupu unajua ukoje?
 
Sikiliza wewe hakuna sehemu yoyote duniani ambayo haina nishati ya BARIDI au JOTO kwa hiyo lazima mwanzoni kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa na NISHATI ambayo kwa namna yoyote ile lazima iwepo.Au na hapa bado unakataa

Hizo nishati si bado zipo? Mbona viumbe haviendelei kuumbika automatically due to presence of those nishati?
Eti oh binadamu chanzo chake nyani, mbona hao nyani hatuwaoni wakibadirika kuwa binadamu?
In technological advancement sayansi naipa marks, but when it comes to the man's existance haha give me a break dude.
 
God created all things out of nothing while scientists rely on things created from something!

You are damn right dude. They rely on the facts which are there, which are being derived from the things that God created them from nothing.
 
Huyu jamaa alivodescribe big bang theory yani ovyo kabisa... Em somea uandishi basi kidogo ujue jinsi ya kujiexpress..

Umeona eh. Yaani nikawa najiuliza mbona hamna connection na points zinazojenga hoja? Eti oh utupu, utupu kivipi? Nishati gani na je hiyo combination na reactions za hiyo nishati zimestop au hazipo tena hizo nishati? Na kama zipo je reaction yake haiumbi tena viumbe? Lots of questions to ask mleta mada.
 

mleta mada atuambie utupu ukoje afu tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…